Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Anyways mada kama hizi in jf zinaonyesha bongo tunaondoka kwenye utapeli huu
Karl max aliwahi kusema 'Religion is opium of the mass' aliamini kwamba with communist ideals and time religion inge sahaulika lakini mpaka leo Italy bado kuna dini na ucommunist umetoweka... Huwezi futa dini kwnye maisha ya mtu watatokea watu kama nyie lakini mwisho wa siku maisha yatabaki vile vile..
 
Kufungulia uzi uwepo wa melo maana yake kuna wasiwasi pahala.
Nakitu ambacho kina shaka kipo.
Kwa fikira zako umeshindwa kutambua uwepo wake
Na kuto tambua wewe haina maana na wengine hawatambui
 
Karl max aliwahi kusema 'Religion is opium of the mass' aliamini kwamba with communist ideals and time religion inge sahaulika lakini mpaka leo Italy bado kuna dini na ucommunist umetoweka... Huwezi futa dini kwnye maisha ya mtu watatokea watu kama nyie lakini mwisho wa siku maisha yatabaki vile vile..
Sawa ila kupungua kwa dini na waumini is a great sign...
 
Mfano wako hauwenda na mada husika.
Umeuliza mantiki yangu ya kutumia muda mwingi kwenye kitu ambacho hakipo.

Nimekupa mfano wa imani kwenye dawa ambayo haipo inavyoweza kuharibu maisha ya watu, na daktari bora anavyoweza kutumia muda wake kuelimisha jamii kwamba dawa inayouzwa ni feki, ugonjwa haujapata dawa bado.

Hujaelewa nini hapo?

Una uwezo mdogo wa kuelewa hivyo?

Labda ndiyo maana hatuelewani.

Hebu nirudie.

Mimi nawaonya watu kwamba mbele ya njia hii, daraja halipo, limevunjika, wakienda kasi, wataumia katika ajali.

Wewe unanihoji, kama daraja halipo, kwa nini napoteza muda wangu kuonya watu daraja halipo?
 
Katika wale "spiritual but not religiois" kuna wengi ni various shades of agnostic/atheist, ila unajua katika jamii nyingi kujitambulisha kama agnostic/atheist kuna penalty, hivyo wanaenda na label hiyo.

Halafu hata kama hawajafika kuwa agnostic/atheist, they are certainly on their way there. Step ya kwanza ni kukataa religion, kwingine polepole mtu anaji liberate.

It is quite possible for one to be agnostic/atheist and spiritual but not religious, finding spirituality for example in the natural vastness of the universe and the natural laws that governs it, without needing to inject God or religion.
Being spiritual is just another of supporting religion.. Btw can you prove presence of spirits in a being...
 
Mimi sikubali uchawi kuwepo kwa sababu zile zile ambazo zinanifanya nisiamini uwepo wa Mungu.

Uchawi ni story ile ile ya miujuza, ni muendelezo wa story ya Mungu.

Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha uchawi.

Nikikuuliza wewe kwa mfano, uchawi ni nini na unathibitishaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu tu ambacho sijakijua bado, utathibitishaje?

Mababu zetu walioishi miaka 300 iliyopita wakija leo na kuona teknolojia ya ndege, internet, TV, watasema uchawi.

Je, hilo linamaanisha teknolojia hizi ni uchawi?

Je, na wewe ukikutana na mtu mjanja mwenye trick ya teknolojia usiyoijua, akakwambia huu ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi na si teknolojia tu usiyoijua?
Naamini JF wachawi wapo njoo huku muthibitishie huyu mtuu,
 
Miaka mingi imepita tangu nilipotoa kidau kwa mchawi yeyote atakayeweza kuniroga vidole vyangu visiweze ku type, nisiweze kuja JF kuandika.

Mpaka leo hakuna mchawi akiyeweza kufanya kazi hiyo.

Cc Nyani Ngabu
Unaomba kurogwa JF you are kidding... Nikushauri fanya hivi nenda kwenye media yeyote hata local yakwenu.... Af tangaza watu wakuroge...
If you're desperately curious nenda sokoni siku tatu tu tangaza kwamba kama kunamtu anaweza kukuroga akuroge kaa chukua popcorn subiri shoo...
 
Nilichokuwa natafuta kwenye mfano huo ni parallel situation kwamba kama maelezo utayakosa huku unaweza tumia phenomenon nyingine ukapata majibu... Hivyo kama unakiri kwamba kuna vitu ambavyo vipo lakini hatuna maelezo ya kuvielezea kwa undani vivyo hivyo kumbe dhana ya kwamba Mungu yupo inaweza kuwa halisi sema tunakosa maelezo ya kimantiki kuelezea hilo... The allegories are just different but parallels..
Ukitumia hoja hiyo, unaweza kusema kitu chochite kinawezekana, na hivyo, hoja hiyo inakosa maana.

Tuna akili, hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili. Basi inawezekana wewe ni Elon Musk, bilionea wa kwanza wa dunia, ila hatuwezi.

Kutoweza kuthibitisha tuna akili, kamankwelibhatuwezi kuthibitisha, hakuthibitishi lolote zaidi ya ukweli kwamba hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili.

Ukianza kusema wewe ni Elon Musk, tajiri wa kwan,a wa dunia, itabidi uthibitishe hilo.

Hutakiwi kutumia hoja ya kwamba hatuwezi kuthibitisha kuwa tuna akili kama uthibitisho kwambabwewe ni Elin Musk, Mungu yupo au kingine chochote.
 
Unarudi kule
Mimi sikubali uchawi kuwepo kwa sababu zile zile ambazo zinanifanya nisiamini uwepo wa Mungu.

Uchawi ni story ile ile ya miujuza, ni muendelezo wa story ya Mungu.

Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha uchawi.

Nikikuuliza wewe kwa mfano, uchawi ni nini na unathibitishaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu tu ambacho sijakijua bado, utathibitishaje?

Mababu zetu walioishi miaka 300 iliyopita wakija leo na kuona teknolojia ya ndege, internet, TV, watasema uchawi.

Je, hilo linamaanisha teknolojia hizi ni uchawi?

Je, na wewe ukikutana na mtu mjanja mwenye trick ya teknolojia usiyoijua, akakwambia huu ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi na si teknolojia tu usiyoijua
Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!
 
Unaomba kurogwa JF you are kidding... Nikushauri fanya hivi nenda kwenye media yeyote hata local yakwenu.... Af tangaza watu wakuroge...
If you're desperately curious nenda sokoni siku tatu tu tangaza kwamba kama kunamtu anaweza kukuroga akuroge kaa chukua popcorn subiri shoo...
Kwenye media sasa si mtu anaweza hata kukutumia hitman au chemist akutilie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
 
Unarudi kule

Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!
Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?

Mtu asiyeijua ndege inavyoruka, akiiona siku ya kwanza na kufikiri ni uchawi, ndege inakuwa uchawi?
 
Kwenye media sasa si ntu anaweza hata kujutumia hitman au chemist akutikie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
Au sio ipo siku yatakukuta af utatubu....
 
Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?
Point ni kwamba hata kama haujui ila mchezo huo upo... Yeye akikataa inabaki kuwa ni ufahamu wake tu..
 
Kwenye media sasa si ntu anaweza hata kujutumia hitman au chemist akutikie dawa kwenye chakula.

Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
JF wananiangusha sana, ila labda wanaona hauko serious
 
Back
Top Bottom