Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karl max aliwahi kusema 'Religion is opium of the mass' aliamini kwamba with communist ideals and time religion inge sahaulika lakini mpaka leo Italy bado kuna dini na ucommunist umetoweka... Huwezi futa dini kwnye maisha ya mtu watatokea watu kama nyie lakini mwisho wa siku maisha yatabaki vile vile..Anyways mada kama hizi in jf zinaonyesha bongo tunaondoka kwenye utapeli huu
Sawa ila kupungua kwa dini na waumini is a great sign...Karl max aliwahi kusema 'Religion is opium of the mass' aliamini kwamba with communist ideals and time religion inge sahaulika lakini mpaka leo Italy bado kuna dini na ucommunist umetoweka... Huwezi futa dini kwnye maisha ya mtu watatokea watu kama nyie lakini mwisho wa siku maisha yatabaki vile vile..
Umeuliza mantiki yangu ya kutumia muda mwingi kwenye kitu ambacho hakipo.Mfano wako hauwenda na mada husika.
Being spiritual is just another of supporting religion.. Btw can you prove presence of spirits in a being...Katika wale "spiritual but not religiois" kuna wengi ni various shades of agnostic/atheist, ila unajua katika jamii nyingi kujitambulisha kama agnostic/atheist kuna penalty, hivyo wanaenda na label hiyo.
Halafu hata kama hawajafika kuwa agnostic/atheist, they are certainly on their way there. Step ya kwanza ni kukataa religion, kwingine polepole mtu anaji liberate.
It is quite possible for one to be agnostic/atheist and spiritual but not religious, finding spirituality for example in the natural vastness of the universe and the natural laws that governs it, without needing to inject God or religion.
Naamini JF wachawi wapo njoo huku muthibitishie huyu mtuu,Mimi sikubali uchawi kuwepo kwa sababu zile zile ambazo zinanifanya nisiamini uwepo wa Mungu.
Uchawi ni story ile ile ya miujuza, ni muendelezo wa story ya Mungu.
Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha uchawi.
Nikikuuliza wewe kwa mfano, uchawi ni nini na unathibitishaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu tu ambacho sijakijua bado, utathibitishaje?
Mababu zetu walioishi miaka 300 iliyopita wakija leo na kuona teknolojia ya ndege, internet, TV, watasema uchawi.
Je, hilo linamaanisha teknolojia hizi ni uchawi?
Je, na wewe ukikutana na mtu mjanja mwenye trick ya teknolojia usiyoijua, akakwambia huu ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi na si teknolojia tu usiyoijua?
Its a cycle jamii ikikumbwa na matatizo yaliyo nje ya uwezo wao watu hurudi kulekule...Sawa ila kupungua kwa dini na waumini is a great sign...
Miaka mingi imepita tangu nilipotoa kidau kwa mchawi yeyote atakayeweza kuniroga vidole vyangu visiweze ku type, nisiweze kuja JF kuandika.Naamini JF wachawi wapo njoo huku muthibitishie huyu mtuu,
Amna jamaa ni anafanya makusudi au hayajamkuta siku yakimkuta atapiga magoti kuomba msamaha watu asiowaona..Naamini JF wachawi wapo njoo huku muthibitishie huyu mtuu,
Unaomba kurogwa JF you are kidding... Nikushauri fanya hivi nenda kwenye media yeyote hata local yakwenu.... Af tangaza watu wakuroge...Miaka mingi imepita tangu nilipotoa kidau kwa mchawi yeyote atakayeweza kuniroga vidole vyangu visiweze ku type, nisiweze kuja JF kuandika.
Mpaka leo hakuna mchawi akiyeweza kufanya kazi hiyo.
Cc Nyani Ngabu
Ukitumia hoja hiyo, unaweza kusema kitu chochite kinawezekana, na hivyo, hoja hiyo inakosa maana.Nilichokuwa natafuta kwenye mfano huo ni parallel situation kwamba kama maelezo utayakosa huku unaweza tumia phenomenon nyingine ukapata majibu... Hivyo kama unakiri kwamba kuna vitu ambavyo vipo lakini hatuna maelezo ya kuvielezea kwa undani vivyo hivyo kumbe dhana ya kwamba Mungu yupo inaweza kuwa halisi sema tunakosa maelezo ya kimantiki kuelezea hilo... The allegories are just different but parallels..
Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!Mimi sikubali uchawi kuwepo kwa sababu zile zile ambazo zinanifanya nisiamini uwepo wa Mungu.
Uchawi ni story ile ile ya miujuza, ni muendelezo wa story ya Mungu.
Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha uchawi.
Nikikuuliza wewe kwa mfano, uchawi ni nini na unathibitishaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu tu ambacho sijakijua bado, utathibitishaje?
Mababu zetu walioishi miaka 300 iliyopita wakija leo na kuona teknolojia ya ndege, internet, TV, watasema uchawi.
Je, hilo linamaanisha teknolojia hizi ni uchawi?
Je, na wewe ukikutana na mtu mjanja mwenye trick ya teknolojia usiyoijua, akakwambia huu ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi na si teknolojia tu usiyoijua
Kwenye media sasa si mtu anaweza hata kukutumia hitman au chemist akutilie dawa kwenye chakula.Unaomba kurogwa JF you are kidding... Nikushauri fanya hivi nenda kwenye media yeyote hata local yakwenu.... Af tangaza watu wakuroge...
If you're desperately curious nenda sokoni siku tatu tu tangaza kwamba kama kunamtu anaweza kukuroga akuroge kaa chukua popcorn subiri shoo...
Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?Unarudi kule
Unarudi kulekule kwenye uwepo wa vitu usivyo weza kuvielezea uwepo wake ila vipo... Whether uchawi ni tricks au la ila upo!
Au sio ipo siku yatakukuta af utatubu....Kwenye media sasa si ntu anaweza hata kujutumia hitman au chemist akutikie dawa kwenye chakula.
Kama kuna uchawi kweli, mchawi anatakiwa aweze kuniroga hata hapa JF.
Point ni kwamba hata kama haujui ila mchezo huo upo... Yeye akikataa inabaki kuwa ni ufahamu wake tu..Kwa hivyo, kama mtu hajui mchezo wa karata tatu, akachezewa, akiwa haujui, anauona kama uchawi, mchezo wa karata tatu ni uchawi?
Karata tatu ni uchawi?Point ni kwamba hata kama haujui ila mchezo huo upo... Yeye akikataa inabaki kuwa ni ufahamu wake tu..