Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana