- Thread starter
- #61
Huo uongo mtaacha lini? Na vipi kuhusu kambi za jeshi kubamizwa na Hezbollah? Nauo ni chambo. Mnawakuza mnoambacho hujui ni kwamba wale captives ni chambo cha israel kutimiza malengo yake ya kijeshi apo gaza ni kwamba anataka gaza yote iwe majivu alafu achukue hilo eneo lote sasa captive wakipatikana si mana yake vita inaisha? wewe hujui kwamba israel anapenda vita?
alafu pia israel anataka aendelee kuwasogeza wapalestina waende mbali zaidi ili aongeze eneo sasa asipotafuta sababu itakayokubalika kimataifa hatafanikiwa