- Thread starter
- #21
Vipi kuhusu uwezo halisi wa Israel vs matamanio yakoNdani ya wiki hiyo hiyo hujasikia kitu kingine kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu uwezo halisi wa Israel vs matamanio yakoNdani ya wiki hiyo hiyo hujasikia kitu kingine kweli?
Wakati huko marekani watu wanapitia maisha duni hala nyumba ya kulala hawana na mlo tabu, utawala wao unaamrishwa na Isael wametoa shillingi billion 20 dollar juzi juzi tu za bure kuwapa israel kuuwa watu ovyo. Hii laana tupu,
View: https://youtube.com/shorts/F4GbuQV8y4A?si=O3IiCAP4lU9UUjw3
Usianze Hashtag za Pray For Lebanon Baadae Hezbollah na Iran watawaponza Raia wote wa Lebanon naupendaga sana mji wa Beirut Pale Lebanon basi tu umejaa magaidiNdani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
SanaTaifa la kinafk sana wao kutwa kuwalecture mataifa yanayowachallage kuwa eti wanatumia mabillion kutengeneza miradi ya nuclear badala ya kuinua maisha ya watu wao
Israel inapigana kwenye 3 fronts + Ayatolah bado huoni uwezo wa IDF+?!Kukuza uwezo wa Israel ambaye anashambuliwa hata na wanamgambo
Tujadili uwezo halisi wa Israel. Huonini kama wanafikika kirahisi na maadui??Usianze Hashtag za Pray For Lebanon Baadae Hezbollah na Iran watawaponza Raia wote wa Lebanon naupendaga sana mji wa Beirut Pale Lebanon basi tu umejaa magaidi
View: https://youtube.com/shorts/3zUs6NsJ9pY?si=D90kq1IOpAiU_j3F
Hamas imeundwa na Israel, na kupatiwa misaaada. Walitaka waiunde ili wapalestina wao kwa wao wapigane. Fitna ya kupiganisha Hamas na pLO ya Yasser Arafat sasa dhambi hiyo imewarudia wao wenyewe
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Sio kama mnavyohubiri. Mwaka mzima hawajarejesha hata 20% ya captives!!!Israel inapigana kwenye 3 fronts + Ayatolah bado huoni uwezo wa IDF+?!
Vipi wamerejesha mateka?
Hata Vita zilizotangulia Israel ilivamiwa na Mataifa ya Kiarabu ghafla na sio kwamba IDF hawakupigwa lakini walipangua na kuyapiga Majeshi ya Waarabu hadi yakasarenda.Tujadili uwezo halisi wa Israel. Huonini kama wanafikika kirahisi na maadui??
Watarejeshwa tu ngoja kipigo kiendeleeSio kama mnavyohubiri. Mwaka mzima hawajarejesha hata 20% ya captives!!!
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Ni kweli unakuzwa....Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Tujadili uwezo halisi wa Israel. Huonini kama wanafikika kirahisi na maadui??
Basi wawakomboe mateka wanaoshikiliwa na HamasHata Vita zilizotangulia Israel ilivamiwa na Mataifa ya Kiarabu ghafla na sio kwamba IDF hawakupigwa lakini walipangua na kuyapiga Majeshi ya Waarabu hadi yakasarenda.
Israel ni kanchi kadogo sana.Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Basi wawakomboe mateka wanaoshikiliwa na Hamas
Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuoneIsrael ni kanchi kadogo sana.
Sasa fikiria, Israel anashambulia Gaza, muda huo huo anapiga Lebanon, muda huo huo yuko Syria anapiga karibu na airbase za Urusi, wakati huo huo anapangua missiles za Iran.
Ndugu yangu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wayahudi wako vizuri.