Uwezo wa Israel unakuzwa sana

Uwezo wa Israel unakuzwa sana

Hivi Wewe Bata maji ilishafika Israe FYI jamaa wanaishi sana kuna jangwa hadi matching wa Yana limes na ya nakuwa exported sasa nyie mna maji ,Ardhi mnachoweza kuexport maybe ngono zembe
Hapa unajadili mada ipi. Babaako bora angepiga nyeto tu
 
Thaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongoooo
Kwani thamani ya binadamu inauzwa duka gani?mpaka ihesabike kuwa thamani ya viongozi wote wa Hezblloh,hamas na majenelali wa Iran waliouawa ni ndogo kuliko madhara na hasara waliopeleka Israel?.
 
Kwani thamani ya binadamu inauzwa duka gani?mpaka ihesabike kuwa thamani ya viongozi wote wa Hezblloh,hamas na majenelali wa Iran waliouawa ni ndogo kuliko madhara na hasara waliopeleka Israel?.
Sawa ni kubwa sana
 
Israel ni kanchi kadogo sana.

Sasa fikiria, Israel anashambulia Gaza, muda huo huo anapiga Lebanon, muda huo huo yuko Syria anapiga karibu na airbase za Urusi, wakati huo huo anapangua missiles za Iran.

Ndugu yangu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wayahudi wako vizuri.
Mmarekani huyo huo ndio ukweli
 
Kama wangekuwa na uwezo mkubwa as you have always been singing, wasingetoana jashk na wanamgambo. Mnawakuza sana. Mateka tu wamewashinda mwaka mzima
Kwakuangalia wewe unaona watu gani wamepoteza kwenye hii Vita? jamani wanaokufa ni binadamu kama sisi tupendane na tusaminiane dini utaifa tumeukuta na kuuacha ila pumzi ni bora kwa kila mwenye uhai
 
Thaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongoooo
Kwani ikitokea umeacha hivyo vichekesho,kuna ubaya gani?Mbona unajikondesha kwa mambo usiyoyajua?
 
Nilijia ungejichanganya tu coz huna akili. Israel inapigana na Hamas au wapalestina? Hamas wao wanamtafuta muisrael yoyote that's why hawataki kuwaachia mateka. Pia kumbuka Hamas sio jeshi au mamlaka ya utawala wa Palestina. Kuwaua viongozi wa Hamas sio ushindi, kuwaua raia wa Palestina sio ushindi. Ushindi ni kuutokomeza hamas na kuwarejesha mateka

Haya furahi...Mshindi Hamas.....! Akili nyingine bwana! Upupu mtupu!
 
Back
Top Bottom