Siku hizi vita hazitegemei sana Infantry(wanajeshi wa ardhini), bali ni uwezo wa angani zaidi (air force capacity) ndiyo ya muhimu zaidi.
Hebu basi tulinganishe nguvu za angani, kati ya Israel na Iran.
1)Air force personell
Iran 42000 , Israel 89000
2)Fighter aircraft.
Iran 189, Israel 240.
3)Attack aircraft
Iran 23, Israel 32.
4)Multirole aircraft
Iran 36, Israel 280.
5)Special mission
Iran 10, Israel 23.
6)Reconaissance
Iran 0, Israel 21.
7)Trainer aircraft
Iran 102, Israel 154.
8)Attack helcopters
Iran 13, Israel 48.
9)Helcopters
Iran 129, Israel 146.
10)Trainer aircraft
Iran 7, Israel 14.
11)AEWAC
Iran 0, Israel 4.
Vipi hizo data?
Hapo sijazungumzia nyuklia, Iran hana kabisa wakati Waebrania wana makombora 90 ya nyuklia.
Watu wengi hawaelewi, ile bendera ya taifa la Marekani, upande mmoja ina mistari myeupe na myekundu, upande mwingine ni nyeupe na nyota za blue.
Ile nyota inaitwa ''The Star of David''
Yule yule mfalme Daudi wa Israel, baba yake na mfalme Suleiman.
Marekani na Israel ni ndugu, ukiingia vitani na Israel, umeingia vitani na Marekani.
Head to Head kati ya Iran na Israel, Iran lazima apotee.
Thomas Karaoka, think tank wa US Air defence, wakati anahojiwa na CNN, alisema, wamepeleka Terminal High Altitude Air Defense(THAAD)Israel in order to comminicate to Iranians that they have to stop that nonsense, anamaanisha waache ujinga wa kutuma vi missiles Israel.
Maana yake nyingine ni kwamba Iran ni nonsense kwao, hawana muda wa kuifikiria wana mambo mengine ya muhimu.