Kati ya Uwezo wa Samia na uwezo wa Israel, kipi kinauzwa zaidi ?Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi
Mkuu ww endelea kunywa kahawa na kashata, hapo kijiwe samli + kuvaa kobazNdani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Punguzeni uongo. Mnashindana vikundi vya wanamgambo na wanaleta maafa ndani ya ardhi ya Israel. Eti Israel ni mbabe ulimwenguni. Punguzeni uongoMkuu ww endelea kunywa kahawa na kashata, hapo kijiwe samli + kuvaa kobaz
Lkn pia uongo umezidi?Kwani hujui walinzi wa mapinduzi wa Iran wapo vitani??
Sawa lkn uongo mmezidishaMagaidi wa Hamas wameanza kusurrender huko Gaza.
Thaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongooooLabda ukawafufue viongozi wote wa Hama's na Hezbollah pamoja na majenelali wa Iran watakupa jibu kama uwezo wa Israel unakuzwa au hapana.
Uongo gani?!Sawa lkn uongo mmezidisha
Nakushauri upeo ubaki kwenye mambo ya simba na yanga tu.Punguzeni uongo. Mnashindana vikundi vya wanamgambo na wanaleta maafa ndani ya ardhi ya Israel. Eti Israel ni mbabe ulimwenguni. Punguzeni uongo
Magaidi wa Hamas wameanza kusurrender huko Gaza.
Magaidi wa Hamas wameanza kusurrender huko Gaza.
Kukuza uwezo wa Israel ambaye anashambuliwa hata na wanamgamboUongo gani?!
Uwezo wao ni average sana
View: https://youtube.com/shorts/3zUs6NsJ9pY?si=D90kq1IOpAiU_j3F
Hamas imeundwa na Israel, na kupatiwa misaaada. Walitaka waiunde ili wapalestina wao kwa wao wapigane. Fitna ya kupiganisha Hamas na pLO ya Yasser Arafat sasa dhambi hiyo imewarudia wao wenyewe
Kama hujapenda kuchangia unaweza kulalaNakushauri upeo ubaki kwenye mambo ya simba na yanga tu.
Bila hiyo misaada uwezo wao ni below averageWakati huko marekani watu wanapitia maisha duni hala nyumba ya kulala hawana na mlo tabu, utawala wao unaamrishwa na Isael wametoa shillingi billion 20 dollar juzi juzi tu za bure kuwapa israel kuuwa watu ovyo. Hii laana tupu,
View: https://youtube.com/shorts/F4GbuQV8y4A?si=O3IiCAP4lU9UUjw3