Uwezo wa Israel unakuzwa sana

Taifa la kinafk sana wao kutwa kuwalecture mataifa yanayowachallage kuwa eti wanatumia mabillion kutengeneza miradi ya nuclear badala ya kuinua maisha ya watu wao
 
Usianze Hashtag za Pray For Lebanon Baadae Hezbollah na Iran watawaponza Raia wote wa Lebanon naupendaga sana mji wa Beirut Pale Lebanon basi tu umejaa magaidi
 
Taifa la kinafk sana wao kutwa kuwalecture mataifa yanayowachallage kuwa eti wanatumia mabillion kutengeneza miradi ya nuclear badala ya kuinua maisha ya watu wao
Sana
 
Usianze Hashtag za Pray For Lebanon Baadae Hezbollah na Iran watawaponza Raia wote wa Lebanon naupendaga sana mji wa Beirut Pale Lebanon basi tu umejaa magaidi
Tujadili uwezo halisi wa Israel. Huonini kama wanafikika kirahisi na maadui??
 
Actions speak louder than words.....!

Tujadili uwezo halisi wa Israel. Huonini kama wanafikika kirahisi na maadui??
Hata Vita zilizotangulia Israel ilivamiwa na Mataifa ya Kiarabu ghafla na sio kwamba IDF hawakupigwa lakini walipangua na kuyapiga Majeshi ya Waarabu hadi yakasarenda.
 
Unachekesha....Hamas ni nguvu ya nani....?
Ni kweli unakuzwa....

Gaza’s Ministry of Health says more than 42,500 Palestinians have been killed in Israeli attacks and thousands more are buried under rubble and threatened by illness.

Here are the latest casualty figures as of 5:00pm in Gaza (14:00 GMT) on October 18:

Gaza​

  • Killed: at least 42,500 people, including nearly 16,765 children
  • Injured: more than 99,546 people
  • Missing: more than 10,000
The latest figures from the Palestinian Ministry of Health in the occupied West Bank are as follows:

Occupied West Bank​

  • Killed: at least 757 people, including at least 165 children
  • Injured: more than 6,250 people
 
Ombeni msaada Urusi.....Haya ndio matokeo.....

Hata Vita zilizotangulia Israel ilivamiwa na Mataifa ya Kiarabu ghafla na sio kwamba IDF hawakupigwa lakini walipangua na kuyapiga Majeshi ya Waarabu hadi yakasarenda.
Basi wawakomboe mateka wanaoshikiliwa na Hamas
 
Israel ni kanchi kadogo sana.

Sasa fikiria, Israel anashambulia Gaza, muda huo huo anapiga Lebanon, muda huo huo yuko Syria anapiga karibu na airbase za Urusi, wakati huo huo anapangua missiles za Iran.

Ndugu yangu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wayahudi wako vizuri.
 
Data hizo.....Mpaka Idadi ifikie 100,000....Malishwa UNRWA....Kazi kuzaa tu.....Ndio Maana hamthamini maisha....

Basi wawakomboe mateka wanaoshikiliwa na Hamas

Unaota....! Vita vimekwisha.....Kwanza Pole.....

List of Hezbollah, Hamas leaders Israel has assassinated since October 7, 2023​

Several Hamas and Hezbollah leaders including Yahya Sinwar, Ibrahim Aqil and Ismail Haniyeh were killed since the start of the war.​

Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…