Sa hapo ndio kaonesha umadhubuti wake kijeshi?Data hizo.....Mpaka Idadi ifikie 100,000....Malishwa UNRWA....Kazi kuzaa tu.....Ndio Maana hamthamini maisha....
View attachment 3130104
Vipi kuhusu mateka?Unaota....! Vita vimekwisha.....Kwanza Pole.....
List of Hezbollah, Hamas leaders Israel has assassinated since October 7, 2023
Several Hamas and Hezbollah leaders including Yahya Sinwar, Ibrahim Aqil and Ismail Haniyeh were killed since the start of the war.
View attachment 3130107
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Vipi kuhusu mateka?
Kwa hiyo bwana mchambuzi wa mchamba wima ndo una ona ume tema pwenti hapa 🤣🤣Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo madhubuti ya ulinzi? Nadhani tunawakuza sana hawa watu. Imagine hapo wanashambuliwa na 'wanamgambo' wa Hezbollah, vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Inawezekana wana nguvu ya kijeshi, hasa kwa msaada wa US. Lkn pia tunawakuza saaaana. Uongo mwingi sana
Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuone
IDF inatumia mbinu ya Scorch earth policy kutokana na Wananchi wengi wa Gaza kushirikiana na Hamas.Wananchi wa Gaza wanatakiwa washirikiane na IDF ili vita viishe haraka.Basi wawakomboe mateka wanaoshikiliwa na Hamas
Punguzeni uongo. Mnashindana vikundi vya wanamgambo na wanaleta maafa ndani ya ardhi ya Israel. Eti Israel ni mbabe ulimwenguni. Punguzeni uongo
IDF inatumia mbinu ya Scorch earth policy kutokana na Wananchi wengi wa Gaza kushirikiana na Hamas.
Hapa IDF wanathibitisha kuwa aliyeuwawa ni Sinwar kwa kufananisha meno.
Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuone
hivi thamani ya nasrala unaijua mkuu? viongozi wote wa hezbolah wameuliwa alafu unasema thaman ya viongozi ni ndogo kuliko madhara waliyoleta ebu taja hizo hasara kweli unatumia vidole kufikiriaThaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongoooo
ambacho hujui ni kwamba wale captives ni chambo cha israel kutimiza malengo yake ya kijeshi apo gaza ni kwamba anataka gaza yote iwe majivu alafu achukue hilo eneo lote sasa captive wakipatikana si mana yake vita inaisha? wewe hujui kwamba israel anapenda vita?Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuone
SamiaKati ya Uwezo wa Samia na uwezo wa Israel, kipi kinauzwa zaidi ?
Shule za tarafa na kata ni mzigo mzito.Labda ukawafufue viongozi wote wa Hama's na Hezbollah pamoja na majenelali wa Iran watakupa jibu kama uwezo wa Israel unakuzwa au hapana.
Siku hizi vita hazitegemei sana Infantry(wanajeshi wa ardhini), bali ni uwezo wa angani zaidi (air force capacity) ndiyo ya muhimu zaidi.Did they manage to rescue the captives? Remember its a year now
Huko kote anapigana na vikundi vya wanamgambo. Aingie kwenye vita kamili na Iran tuone
Asingehangaika kusumbuana na Wanamgambo na mpaka sasa hajaokoa matekaSiku hizi vita hazitegemei sana Infantry(wanajeshi wa ardhini), bali ni uwezo wa angani zaidi (air force capacity) ndiyo ya muhimu zaidi.
Hebu basi tulinganishe nguvu za angani, kati ya Israel na Iran.
1)Air force personell
Iran 42000 , Israel 89000
2)Fighter aircraft.
Iran 189, Israel 240.
3)Attack aircraft
Iran 23, Israel 32.
4)Multirole aircraft
Iran 36, Israel 280.
5)Special mission
Iran 10, Israel 23.
6)Reconaissance
Iran 0, Israel 21.
7)Trainer aircraft
Iran 102, Israel 154.
8)Attack helcopters
Iran 13, Israel 48.
9)Helcopters
Iran 129, Israel 146.
10)Trainer aircraft
Iran 7, Israel 14.
11)AEWAC
Iran 0, Israel 4.
Vipi hizo data?
Hapo sijazungumzia nyuklia, Iran hana kabisa wakati Waebrania wana makombora 90 ya nyuklia.
Watu wengi hawaelewi, ile bendera ya taifa la Marekani, upande mmoja ina mistari myeupe na myekundu, upande mwingine ni nyeupe na nyota za blue.
Ile nyota inaitwa ''The Star of David''
Yule yule mfalme Daudi wa Israel, baba yake na mfalme Suleiman.
Marekani na Israel ni ndugu, ukiingia vitani na Israel, umeingia vitani na Marekani.
Head to Head kati ya Iran na Israel, Iran lazima apotee.
Thomas Karaoka, think tank wa US Air defence, wakati anahojiwa na CNN, alisema, wamepeleka Terminal High Altitude Air Defense(THAAD)Israel in order to comminicate to Iranians that they have to stop that nonsense, anamaanisha waache ujinga wa kutuma vi missiles Israel.
Maana yake nyingine ni kwamba Iran ni nonsense kwao, hawana muda wa kuifikiria wana mambo mengine ya muhimu.
Uanamgambo wao ni uvaaji wa kobazi au?Punguzeni uongo. Mnashindana vikundi vya wanamgambo na wanaleta maafa ndani ya ardhi ya Israel. Eti Israel ni mbabe ulimwenguni. Punguzeni uongo