Huo uongo mtaacha lini? Na vipi kuhusu kambi za jeshi kubamizwa na Hezbollah? Nauo ni chambo. Mnawakuza mnoambacho hujui ni kwamba wale captives ni chambo cha israel kutimiza malengo yake ya kijeshi apo gaza ni kwamba anataka gaza yote iwe majivu alafu achukue hilo eneo lote sasa captive wakipatikana si mana yake vita inaisha? wewe hujui kwamba israel anapenda vita?
alafu pia israel anataka aendelee kuwasogeza wapalestina waende mbali zaidi ili aongeze eneo sasa asipotafuta sababu itakayokubalika kimataifa hatafanikiwa
Ndo walioua zaidi ya waisrael elf 1 last year. Sijui waiwezaje na mnasema Israel wana ulinzi hatariUanamgambo wao ni uvaaji wa kobazi au?
So vifo vya hao viongozi vina thamani ya mauajj ya October 7? Akili zako ni ushuzi mtupu?hivi thamani ya nasrala unaijua mkuu? viongozi wote wa hezbolah wameuliwa alafu unasema thaman ya viongozi ni ndogo kuliko madhara waliyoleta ebu taja hizo hasara kweli unatumia vidole kufikiria
Jadili uwezo wa kijeshi wa srael. Usitoke nje ya mada. Shirikisha zaidi akili kwenye jii mijadalaAlways you asking the wrong Question......Au umezaliwa jana? Kauli mbio toka Iran ianzishwe ni Death to America ....Death to Israel.....Ndio inatakiwa iifute Israel chini ya jua....Rudia darasa lako la historia....
sasa ameuliwa nasralah unamfananisha na raia wa kawaida? we panya kweliSo vifo vya hao viongozi vina thamani ya mauajj ya October 7? Akili zako ni ushuzi mtupu?
Kwa picha hii wameokoa mateka wote
Raia elf 1. Wewe mavi aiseesasa ameuliwa nasralah unamfananisha na raia wa kawaida? we panya kweli
kambi zipi mzee zimebamizwa?Huo uongo mtaacha lini? Na vipi kuhusu kambi za jeshi kubamizwa na Hezbollah? Nauo ni chambo. Mnawakuza mno
raia elf moja wa israel wamendoka..wapalestina unajua washakufa wangapi hadi sasa? zaidi ya elf 40, achilia mbali mji wao wote umekua majivu, achilia mbali viongozi wao wakuu wote wameliwa vichwa? hapo ulipo unatumia akili za kichwani au za matakoni?Raia elf 1. Wewe mavi aisee
aliekuambia anataka kuokoa mateka ni nani, wenzako wanataka vitaAsingehangaika kusumbuana na Wanamgambo na mpaka sasa hajaokoa mateka
Nilijia ungejichanganya tu coz huna akili. Israel inapigana na Hamas au wapalestina? Hamas wao wanamtafuta muisrael yoyote that's why hawataki kuwaachia mateka. Pia kumbuka Hamas sio jeshi au mamlaka ya utawala wa Palestina. Kuwaua viongozi wa Hamas sio ushindi, kuwaua raia wa Palestina sio ushindi. Ushindi ni kuutokomeza hamas na kuwarejesha matekaraia elf moja wa israel wamendoka..wapalestina unajua washakufa wangapi hadi sasa? zaidi ya elf 40, achilia mbali mji wao wote umekua majivu, achilia mbali viongozi wao wakuu wote wameliwa vichwa? hapo ulipo unatumia akili za kichwani au za matakoni?
Kumbealiekuambia anataka kuokoa mateka ni nani, wenzako wanataka vita
hamas ndo inatawala gaza, wapalestina wote waliopo ukanda wa gaza wako chini ya hamasNilijia ungejichanganya tu coz huna akili. Israel inapigana na Hamas au wapalestina? Hamas wao wanamtafuta muisrael yoyote that's why hawataki kuwaachia mateka. Pia kumbuka Hamas sio jeshi au mamlaka ya utawala wa Palestina. Kuwaua viongozi wa Hamas sio ushindi, kuwaua raia wa Palestina sio ushindi. Ushindi ni kuutokomeza hamas na kuwarejesha mateka
Binyamina military campkambi zipi mzee zimebamizwa?
imebamizwa wapi hako kadrone kamoja? failure hua zinatokea hata moscow yenyewe pamoja mifumo imara ya ulinzi duniani lakni inapigwa na drone za ukraineBinyamina military camp
Waambie hao Iran waingie vitani na hilo jeshi la Israel waone mziki wao. Vitani kushambuliwa kupo haina maana ukiwa vitani hakuna hata chembe la jeraha hutapata eti kwa sababu una kinga fulani. Hakuna kitu kama hicho.vp wakiingia kwenye vita na jeshi kamili la taifa kama Iran?
Kama wangekuwa na uwezo mkubwa as you have always been singing, wasingetoana jashk na wanamgambo. Mnawakuza sana. Mateka tu wamewashinda mwaka mzimahamas ndo inatawala gaza, wapalestina wote waliopo ukanda wa gaza wako chini ya hamas
Ndo kupigwa hukoimeba
imebamizwa wapi hako kadrone kamoja? failure hua zinatokea hata moscow yenyewe pamoja mifumo imara ya ulinzi duniani lakni inapigwa na drone za ukraine
Lkn mnawakuza sana hao mashogaWaambie hao Iran waingie vitani na hilo jeshi la Israel waone mziki wao. Vitani kushambuliwa kupo haina maana ukiwa vitani hakuna hata chembe la jeraha hutapata eti kwa sababu una kinga fulani. Hakuna kitu kama hicho.
Hivi Wewe Bata maji ilishafika Israe FYI jamaa wanaishi sana kuna jangwa hadi matching wa Yana limes na ya nakuwa exported sasa nyie mna maji ,Ardhi mnachoweza kuexport maybe ngono zembeTaifa la kinafk sana wao kutwa kuwalecture mataifa yanayowachallage kuwa eti wanatumia mabillion kutengeneza miradi ya nuclear badala ya kuinua maisha ya watu wao