Hapa unajadili mada ipi. Babaako bora angepiga nyeto tuHivi Wewe Bata maji ilishafika Israe FYI jamaa wanaishi sana kuna jangwa hadi matching wa Yana limes na ya nakuwa exported sasa nyie mna maji ,Ardhi mnachoweza kuexport maybe ngono zembe
hakuna vita ambayo huwezi kupata lossNdo kupigwa huko
Kwani thamani ya binadamu inauzwa duka gani?mpaka ihesabike kuwa thamani ya viongozi wote wa Hezblloh,hamas na majenelali wa Iran waliouawa ni ndogo kuliko madhara na hasara waliopeleka Israel?.Thaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongoooo
Sawa ni kubwa sanaKwani thamani ya binadamu inauzwa duka gani?mpaka ihesabike kuwa thamani ya viongozi wote wa Hezblloh,hamas na majenelali wa Iran waliouawa ni ndogo kuliko madhara na hasara waliopeleka Israel?.
Mmarekani huyo huo ndio ukweliIsrael ni kanchi kadogo sana.
Sasa fikiria, Israel anashambulia Gaza, muda huo huo anapiga Lebanon, muda huo huo yuko Syria anapiga karibu na airbase za Urusi, wakati huo huo anapangua missiles za Iran.
Ndugu yangu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Wayahudi wako vizuri.
Unaewakuza nini wewe. Wao wanatimiza wajibu wao wa kujilinda then mwisho mashoga wanaonekana ni kina nani.Lkn mnawakuza sana hao mashoga
Kobaz imekuwa maarufu sana wakati huuMkuu ww endelea kunywa kahawa na kashata, hapo kijiwe samli + kuvaa kobaz
Kwakuangalia wewe unaona watu gani wamepoteza kwenye hii Vita? jamani wanaokufa ni binadamu kama sisi tupendane na tusaminiane dini utaifa tumeukuta na kuuacha ila pumzi ni bora kwa kila mwenye uhaiKama wangekuwa na uwezo mkubwa as you have always been singing, wasingetoana jashk na wanamgambo. Mnawakuza sana. Mateka tu wamewashinda mwaka mzima
Kwani ikitokea umeacha hivyo vichekesho,kuna ubaya gani?Mbona unajikondesha kwa mambo usiyoyajua?Thaman ya vifo vya hao viongozi wa Hamas ni ndogo kuliko madhara na hasara waliyopeleka Israel. Punguzeni uongoooo
Kwa picha hii wameokoa mateka wote
Nilijia ungejichanganya tu coz huna akili. Israel inapigana na Hamas au wapalestina? Hamas wao wanamtafuta muisrael yoyote that's why hawataki kuwaachia mateka. Pia kumbuka Hamas sio jeshi au mamlaka ya utawala wa Palestina. Kuwaua viongozi wa Hamas sio ushindi, kuwaua raia wa Palestina sio ushindi. Ushindi ni kuutokomeza hamas na kuwarejesha mateka