Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

View attachment 2734303

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali

Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.

Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020

  1. The United States — $778 billion
  2. China — $252 billion
  3. India — $72.9 billion
  4. Russia — $61.7 billion
  5. United Kingdom — $59.2 billion
  6. Saudi Arabia — $57.5 billion
  7. Germany — $52.8 billion
  8. France — $52.7 billion
  9. Japan — $49.1 billion
  10. South Korea — $45.7 billion

Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea

Takataka zinazookotwa na kupewa vyeo
 
Top ten country air defense systems


1. United States:
- Patriot Missile System
- THAAD (Terminal High Altitude Area Defense)
- Aegis Ballistic Missile Defense System

2. Russia:
- S-400 Triumf (SA-21 Growler)
- S-300 (SA-10 Grumble)
- Pantsir-S1 (SA-22 Greyhound)

3. China:
- HQ-9 (HongQi-9) Surface-to-Air Missile System
- HQ-16 (HongQi-16) Medium-Range Air Defense System
- HQ-22 Long-Range Air Defense System

4. India:
- Akash Missile System
- Barak 8 Air and Missile Defense System
- MRSAM (Medium Range Surface-to-Air Missile)

5. Israel:
- Iron Dome (Short-Range Missile Defense System)
- David's Sling (Mid-Range Missile Defense System)
- Arrow Missile Defense System

6. France:
- SAMP/T (Sol-Air Moyenne Portée Terrestre)
- Crotale NG (New Generation) Air Defense System
- Aster Missile System

7. Germany:
- MEADS (Medium Extended Air Defense System)
- Patriot PAC-3 MSE (in collaboration with the U.S.)
- Roland Short-Range Air Defense System

8. United Kingdom:
- Sea Ceptor Naval Air Defense System
- Land Ceptor Air Defense System
- Rapier Field Standard C (Short-Range Air Defense)

9. South Korea:
- KM-SAM (Cheolmae-2) Medium-Range Surface-to-Air Missile
- K-SAM Pegasus (Short-Range Air Defense System)

10. Japan:
- Aegis Ashore Missile Defense System
- Type 03 Medium-Range Surface-to-Air Missile System
- Type 11 Short-Range Air Defense System
 

Which Countries Have Nuclear Weapons?

  1. Russia — 6,257 (1,458 active, 3039 available, 1,760 retired)
  2. United States — 5,550 (1,389 active, 2,361 available, 1,800 retired)
  3. China — 350 available (actively expanding nuclear arsenal)
  4. France — 290 available
  5. United Kingdom — 225 available
  6. Pakistan — 165 available
  7. India — 156 available
  8. Israel — 90 available
  9. North Korea — 40-50 available (estimated)
HIzo "90" available hapo namba nane ("8") ndo zinaweza kuangamiza dunia na ulimwengu wake ndani ya dakika kumi tu! Kila kitu kikawa historia... hapo kwa wengine mbwembwe tu. Ila ukiiandika marekani nafkiri u-include (Uingereza na Israel humohumo, maana ni BABA na vijana wake)
 
Top 10 countries with strong radars

1. United States:
- AN/SPY-1: Radar system used in Aegis-equipped ships for air and missile defense.
- AN/APG-81: Radar used in the F-35 Lightning II stealth fighter.
- AN/FPS-132: Space Surveillance Radar (SSR) for tracking objects in space.

2. Russia:
- N035 Irbis-E: Radar used in the Su-57 fifth-generation fighter.
- Tombstone: Radar used in the S-400 Triumf air defense system.
- Nebo-M: Family of multiband radar systems for air surveillance.

3. China:
- Type 346: Multi-function radar used in the Chinese Navy's destroyers.
- JY-26: Radar used for air surveillance and tracking.
- JY-27A: Counter-stealth radar for detecting stealth aircraft.

4. India:
- Rohini Radar: Multifunction radar used in India's indigenous Tejas fighter.
- Rajendra Radar: Radar used in the Akash missile system.
- Swordfish Long Range Tracking Radar: Used for tracking space objects.

5. France:
- RBE2: AESA radar used in the Rafale fighter.
- SMART-L: Long-range surveillance radar used in naval ships.
- Ground Master: Family of ground-based air surveillance radars.

6. United Kingdom:
- S1850M: Radar used in the Type 45 destroyers.
- Artisan 3D: Radar used in the Royal Navy's vessels.
- Cobra Judy: Radar system used for missile tracking and space surveillance.

7. Germany:
- TRML-3D: Multifunctional radar used for ground-based air surveillance.
- Multifunctional Radar for Surveillance and Guidance (MFR): Used in Patriot air defense systems.
- TPS-77: Long-range surveillance radar used in various applications.

8. South Korea:
- FPS-2K: Radar used in the KM-SAM air defense system.
- KF-X AESA Radar: AESA radar developed for the KF-X fighter program.
- TPS-830K: Multifunction radar used for air surveillance.

9. Japan:
- J/APG-2: Radar used in the E-2D Advanced Hawkeye AEW&C aircraft.
- FCS-3A: Fire Control Radar used in the Type 99 main battle tank.
- FCS-2-21: Fire Control Radar used in naval vessels.

10. Turkey:
- AN/TPY-2: Radar used in Turkey's SAMP/T air defense system.
- Aselsan HFLSR: Long-range surveillance radar used for air surveillance.
- Aselsan KALKAN: Active Electronically Scanned Array (AESA) radar for naval ships.
 
upuuz mtupu unajua watumishi wote wa umma nchi hii au unajiropokea tu kama hujui nchi hii inawatumishi wasiozidi 600000 wanajeshi wakiwemo sasa wewe kwa akili yako unaposema komandoo mmoja sawa na wanajeshi 200 hio umeitoa wapi? kwa hio kwa akili yaka makomandoo 27000 kuzidisha 200 ndio idadi ya wanajeahi wa nchi hii? akili za mafisadi na makuwadi ya warabu ndio zimewajaa wajinga nyinyi mnatakiwa kuondolewa madarakan kama yule mshenz wa Gabon.
Outta anythin' you do, don't panic
 
Kwani wakati JWTZ wanatoa takwimu uliwaza kujua nj watu wa aina gani wanasikia ile takwimu?
Hebu acha kubishana ujinga. SISI NDO TUNAKWAMBIA NI URONGO TU! HAKUNA KITU CHA NAMNA HIYO

SASA WE ENDELEA KUBISHANA, NA HUMUHUMU KWENYE COMMENTS WAPO WATU WA TISS NA UKWELI WANAUJUA KWAMBA TUPO KWENYE MADUDU NA UOZO TU, WEWE RAIA UNABISHA ETI 😂
 
Idadi ya wanajeshi
Kwa mujibu wa taarifa zilizomo mtandaoni zinaonesha kwamba Tanzania ipo na idadi ya wanajeshi 27,000. Basi ninaweza nikaamua kuongezea mara tatu ya idadi hii iliyoandikwa kwenye mitandao maana huenda wametuhujumu.

27,000 x 3 = 81,000
Tunaweza kusema sasa tupo na askari 81,000.
Hebu sasa tuangalie kwenye nchi zingine
Zifuatazo ni nchi kumi zenye askari wengi duniani mwaka 2020

  1. China: 2,185,000
  2. India: 1,455,550
  3. United States: 1,388,100
  4. North Korea: 1,280,000
  5. Russia: 1,014,000
  6. Pakistan: 654,000
  7. Iran: 610,000
  8. South Korea: 599,000
  9. Vietnam: 482,000
  10. Egypt: 438,500
Kiduku konyo sana, yaani nchi yenye population ya 26m waneda 1.3m sawa 5% ya idadi ya watu!!?? Kila watu 20 mmoja mjeda, achilia mbali police, magereza etc etc...
 
Kwani wakati JWTZ wanatoa takwimu uliwaza kujua nj watu wa aina gani wanasikia ile takwimu?
 
Hebu acha kubishana ujinga. SISI NDO TUNAKWAMBIA NI URONGO TU! HAKUNA KITU CHA NAMNA HIYO

SASA WE ENDELEA KUBISHANA, NA HUMUHUMU KWENYE COMMENTS WAPO WATU WA TISS NA UKWELI WANAUJUA KWAMBA TUPO KWENYE MADUDU NA UOZO TU, WEWE RAIA UNABISHA ETI 😂
Sasa nani alikuambia TISS ni makomandoo?

Wale ni mashushushu.

Shushushu anaweza kuwa mtu yeyote hata Steve Nyerere

Role ya Shushushu ni unafki na kujipendekeza kwa watu just to gathering some info.

Komandoo ni beyond
 
Sasa hii inasaidia nini?

Inabadilisha nini kwenye kile walichokiongea?
 
yaani jamaa ametufanyia kama ma RPC wa polisi wanavyotufanyiaga.

unapigwa kamba moja ngumu halafu hupewi nafasi ya kuomba ufafanuzi.
 

Attachments

  • IMG_2602.jpeg
    IMG_2602.jpeg
    106.7 KB · Views: 5
Sasa nani alikuambia TISA ni makomandoo?

Wale ni mashushushu.

Shushushu anaweza kuwa mtu yeyote hata Steve Nyerere

Role ya Shushushu ni unafki na kujipendekeza kwa watu just to gathering some info.

Komandoo ni beyond
Wewe ni MPUMBAVU! kwa taarifa yako ukae ukijua kila TISS unayemfahamu au akili ikakudanganya unamfahamu basi ujue ana mafunzo thabiti ya kijeshi na alipita jeshi... tena anayajua mambo mengi kuliko hata mwanajeshi mwenyewe wa hovyohovyo hasa hawa kutwa kuonea raia kisa wamevaa nguo za kufanana na wao. Na TISS wanajua ukweli tena kinagaubaga kwamba sisi ni dhaifu, na wanapendekeza njia thabiti kushauri namna ya kupiga hatua maana wengi wao huwa ni wasomi.

USIPENDE KUKARIRI NA KUPEWA STORY ZA VIJIWENI..., ETI WANAFIKI NA MACHAWA. 😂😂😂

KWELI WAJINGA NI WENGI
 
Wewe ni MPUMBAVU! kwa taarifa yako ukae ukijua kila TISS unayemfahamu au akili ikakudanganya unamfahamu basi ujue ana mafunzo thabiti ya kijeshi na alipita jeshi... tena anayajua mambo mengi kuliko hata mwanajeshi mwenyewe wa hovyohovyo hasa hawa kutwa kuonea raia kisa wamevaa nguo za kufanana na wao. Na TISS wanajua ukweli tena kinagaubaga kwamba sisi ni dhaifu, na wanapendekeza njia thabiti kushauri namna ya kupiga hatua maana wengi wao huwa ni wasomi.

USIPENDE KUKARIRI NA KUPEWA STORY ZA VIJIWENI..., ETI WANAFIKI NA MACHAWA. 😂😂😂

KWELI WAJINGA NI WENGI
Mtu kupitia jeshi haina maana ni komando.

Na jeshi sio lazima liwe JWTZ hata JKT ni jeshi.

JKT kiasili ni wajasiriamali

Na sio kweli kuwa kila TISS amepitia Jeshi, labda jeshi la wokovu
 
Mtu kupitia jeshi haina maana ni komando.

Na jeshi sio lazima liwe JWTZ hata JKT ni jeshi.

JKT kiasili ni wajasiriamali

Na sio kweli kuwa kila TISS amepitia Jeshi, labda jeshi la wokovu
Kuna jeshi la sungusungu pia
 
Back
Top Bottom