Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Hata muundo wake kibiolojia haonyeshi kama anaweza kuwa na uwezo kichwani
Hao wenye maumbo kama hayo wanaitwa "Mongols". Mongol refers to a person suffering from Down's syndrome, owing to the similarity of some of the physical symptoms of the disorder with the normal facial characteristics of East Asia people
 
Hapa bora tu angeandika Kiswahili CAF wakatafsiri wenyewe. Hivi huko TFF hakuna watu walioenda shule?
 

Umasikini na uomba omba wa taifa letu unatokana na mambo mengi sana, moja ni hili la watu aina ya Ndumbaro kuwa mawaziri.

Na ni bahati mbaya, marais wanapotafuta mawaziri ni kama huwa kuna kaduara wanatakiwa kuzunguka humo humo ili kuwapata bila kutoka nje na kuangalia watu wenye akili nzuri ya kufikiri mambo ya maana.
 
ANataka kutuharibia hata tutolewe kuandaa caf hovyo kabisa passport na mpira wapi na wapi? Kwanza hana exposure hivi anajua kwamba wale watanzania wanaishi southafrica 90% hawana passport na wapo kimagumashi ila ndio wanaoenda kushangilia timu za tanzania zikienda southafrica sasa usirushe mawe kama unaishi nyumba ya vioo
 
Huyu jamaa ana IQ ndogo sana. Badala ya kuhimiza timu kufanya mazoezi ya nguvu na kucheza kwa bidii wapate matokeo yeye anahimiza watu wasivae jezi. Hivi jezi ndizo zinacheza mpira? Sijawahi kuona mtu mwenye akili za kipuuzi kama Ndumbaro.
Ndumbaro mweupe sana. Sijui hata mitihani alipasi vipi huko sekondari.

Mpaka naamini kuwa zoezi la vyeti feki lilikuwa selective and discriminative. Kama lingepita kwa wabunge Ndumbaro angekwama
 
Kwa kumuangalia tu utagundua.
 
Sijabisha.Kitendo cha kukaa kwa adabu na Jenista nayo ni akili. Saa hizi anaongoza wizara halafu mimi na wewe wenye "akili" tunabishana hadi mishipa ya viunoni inasimama bila shuruti wala malipo.
CV yake hii hapa. Mavyeti mengi ila kichwani amejaza takataka tu
 
Bado wiki mbili zilizopita aligombana na mama wa chaneta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…