Nilikuwa CEO wa Shirika la Umma, nina MBA ya ukweli na siyo hizo PhD za kununua MwengeTatizo ni inferiority complex uliyonayo ndio inakusumbua. Labda tukuulize, ww uwezo wako ni upi uliolifanyia taifa hili,popote pale ili tujue kuwa una uwezo. Na uwe specific ili tukutafute na tudhibitishe kuwa una uwezo.
Nimepiga kama MisoMisondoMkuu unapigaje hapo?
Sasa kiwango cha akili ya mtu tunapima kwa nini mkuu.?Akili zenyewe ziko wapi kwenye uhalisia? Au unatishwa na PhD ya OUT?
Nilikuwa CEO wa Shirika la Umma, nina MBA ya ukweli na siyo hizo PhD za kununua Mwenge.
PhD ya mheshimiwa Dr Ndumbaro, inaonekana inakuchoma moyo Sana. Pole na ww utaipata ukijitahid kusoma kwa bidii. Watanzania wengi wana wivu na husuda. PhD ni yake. Mbona inferiority complex zinawaumiza jamani. Inaonekana ni mtu wa majungu kweli kweli. Na Dr Ndumbaro ni kipanga toka huko chini.Endelea kuteseka mkuu.Nilikuwa CEO wa Shirika la Umma, nina MBA ya ukweli na siyo hizo PhD za kununua Mwenge
Kipanga wa mazezeta. Kwenye jamii ya vipofu mwenye jicho moja ndiyo mfalme.PhD ya mheshimiwa Dr Ndumbaro, inaonekana inakuchoma moyo Sana. Pole na ww utaipata ukijitahid kusoma kwa bidii. Watanzania wengi wana wivu na husuda. PhD ni yake. Mbona inferiority complex zinawaumiza jamani. Inaonekana ni mtu wa majungu kweli kweli. Na Dr Ndumbaro ni kipanga toka huko chini.Endelea kuteseka mkuu.
Nafikiri tuishie hapa naona unanijibu Kama mtu wa, vichochoroni. Yaan unaleta majibu ya kihuni. Nakutakia siku njema.Kipanga wa mazezeta. Kwenye jamii ya vipofu mwenye jicho moja ndiyo mfalme.
Sijabisha.Kitendo cha kukaa kwa adabu na Jenista nayo ni akili. Saa hizi anaongoza wizara halafu mimi na wewe wenye "akili" tunabishana hadi mishipa ya viunoni inasimama bila shuruti wala malipo.
PhD ya mheshimiwa Dr Ndumbaro, inaonekana inakuchoma moyo Sana. Pole na ww utaipata ukijitahid kusoma kwa bidii. Watanzania wengi wana wivu na husuda. PhD ni yake. Mbona inferiority complex zinawaumiza jamani. Inaonekana ni mtu wa majungu kweli kweli. Na Dr Ndumbaro ni kipanga toka huko chini.Endelea kuteseka mkuu.
Wote ni wabovu. Huyo aliyelalamika CAF kuhusun usalam ni mwoga aisyekuwa na sababu ya msingi- ametumia kinachoitwa speculations kutoa malalamiko offoicia bila kuwa na ushahidi, CAF kuulizia hali ya usalama wa michezo ni hatua mbovu ya CAF kuufuatilia innuendo badala ya kuleta watu watu wake kuyathibisha, na vile vile TFF kuwajibu CAF nio hatua mbovu kujibu jambo lisilokuwapo.Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Kwenye kundi lile wametuzidi mbinu kadhaa za Gizani tuVyeo vingi wanapeana kwa Itikadi za kisiasa, kulipana fadhila au uchawa!
LAITI KAMA UWEZO NDIO UNGEKUWA KIPAUMBELE SIDHANI KAMA KUNA VIUMBE WANGEPATA NAFASI SERIKALIN.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Unaona kabisa Mtu ni Msomi lakini hana contentHii Nchi ianze utaratibu wa kupima IQ kabla ya kuwakabidhi Watu Ofisi za Umma.
Nimecheka.Hata muundo wake kibiolojia haonyeshi kama anaweza kuwa na uwezo kichwani
Waliolalamika ni wanaotaka kuvaa nguo za MamelodiYanga mnaumia sana kuambiwa ukweli kwamba muache kujipendekeza kwa timu za kigeni zinazokuja kucheza na Simba. Huo ndio ukweli mnajipendekeza sana na mna roho mbaya pia, hamna uanamichezo wowote.
Kichwa chake chenyewe tu kimekaa kama zero hivi. Yaani kama ana utindio wa ubongo hivi. What do you expect?Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB.
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato
2. Mwaka jana akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema tunahitaji miaka 3 ya wananchi kujufunza umuhimu wa Katiba
3. Wiki hili ameleta sintofahamu kubwa kwenye bara la Afrika akikataza mashabiki wa mpira kuingia na jezi za timu za Al Ahly na Mamelodi Sundowns kwenye mechi za CAF
SIWEZI kumpangia Rais watu wa kufanya naye kazi, lakini Waziri Ndumbaro HANA UWEZO wowoteView attachment 2942392View attachment 2942393
Huyu definitely ni Ndumbaro!Sidhani, mtu mmoja tena unayetumia jina na ID fake unaweza kumdharau mtu mwenye exposure. Ww una inferiority complex. Huna uwezo wa kum underate Dr Ndumbaro ambaye amedefend thesis na kupitishwa mbele ya ma Professor wakubwa duniani. Ambaye ameshinda mitihani ya u advocate kwenye taasisi kubwa. Basi endelea kuunderate watu kwa kuwa, tu huna kitu.