The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
ndio mafeminists walivyo mkuu yani kwao mwanamke hasa mwenye mbdili na anayeikubali nafasi ya mwanamke wanampinga vita, feminism inampango wa kujenga madume jike nganga ngingi hakuna maadili na familia kwao sio kipaumbele na kuwajaza sumu wanawake kua mwanaume au mume sio muhimu cha muhimu careerMtu hana ndoa.
Mtu kapata mtoto mwenye baba wanne.
Eti ndiye Katibu Mkuu wa wanawake wote wa CCM!!!
CCM imeishiwa lakini si kwa kiwango hiki kwa kweli!
Uchunguzi gani tena, mbona kama tayari wanajua mtuhumiwa katenda kosa!UWT inampongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa CCM kwa maamuzi ya kutengua uteuzi wa Mhe Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
Aidha, UWT tunaviomba vyombo vya dola kukamilisha uchunguzi kwa haraka ili kuleta imani kwa wananchi na tunatoa pole kwa familia iliyoathirika.
Jaman unaonewa nn hasa kwa mfano?Tunataka haki zetu wanaume tunaonewa sana na wanawake Tanzania tunaomba ulimwengu na jamii itutetee wanaume
BlablaTaarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke atakaethibitika kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia na kubainisha kuwa UWT inazunguka nchini nzima kupinga na kukemea ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili.
Anaheshimika kwa lipi?Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini, Mkoani Manyara.
HahahaaaaMama Vunja Bei 😂😂😂🔥
Ni hadi Mahakama imtie hatianiHahahaaaa
Hebu wambie CCM wamfukuze uanachama Gekul
Kwa hili, huyu mwanamke kaonyesha tabia yake hasaa! Haiwezekani kama wewe huingizwi kitu matakoni na haujawahi, umuingize mtoto wa mwenzio chupa! Huyu angekuwa mwanaume angemuingili yeye mwenyewe, na kwa kuwa yeye ni mwanamke kaamua kuzielezea hisia zake kwa vitendo.Inafikirisha sana