UWT watoa tamko kuhusu Pauline Gekul, yasema haitamvumilia kiongozi yeyote mwanamke anayekiuka Haki za Binadamu

UWT watoa tamko kuhusu Pauline Gekul, yasema haitamvumilia kiongozi yeyote mwanamke anayekiuka Haki za Binadamu

Mtu hana ndoa.
Mtu kapata mtoto mwenye baba wanne.
Eti ndiye Katibu Mkuu wa wanawake wote wa CCM!!!

CCM imeishiwa lakini si kwa kiwango hiki kwa kweli!
ndio mafeminists walivyo mkuu yani kwao mwanamke hasa mwenye mbdili na anayeikubali nafasi ya mwanamke wanampinga vita, feminism inampango wa kujenga madume jike nganga ngingi hakuna maadili na familia kwao sio kipaumbele na kuwajaza sumu wanawake kua mwanaume au mume sio muhimu cha muhimu career
 
UWT inampongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa CCM kwa maamuzi ya kutengua uteuzi wa Mhe Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.

Aidha, UWT tunaviomba vyombo vya dola kukamilisha uchunguzi kwa haraka ili kuleta imani kwa wananchi na tunatoa pole kwa familia iliyoathirika.
Uchunguzi gani tena, mbona kama tayari wanajua mtuhumiwa katenda kosa!
 
Huyu mama alikuwa hana sifa hata za kuwa mjumbevwa UWT ila kapewa ubunge na uwaziri!! Vetting haikufanyika
 
Taarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke atakaethibitika kufanya vitendo vya ukatili wa kijinsia na kubainisha kuwa UWT inazunguka nchini nzima kupinga na kukemea ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili.
Blabla
Haitavumilia je inachukua hatua gani dhidi ya huyu? Huko kuto kuvumilia je mmeambiwa kuna mwingine anataka kufanya kitendo hicho? Chukueni hatua dhidi ya huyu ili wengine wajifunze kupitia yeye maana kuzunguka nchi nzima kupiga domo ni kufuja pesa ya jumuiya
 
CCM imejaa unafiki mtupu. Rais akimpa nafasi nyingine Gekulu kama alivyofanya kwa Makonda, utawasikia tena wanavyosifia na kupiga vigelegele. Kabla Rais hajatengua uwaziri wa mtuhumiwa walikaa kimya!! Sahizi ndiyo wanakuja na kauli za kinafiki za kujifanya wanachukia uovu.

Ebu watoe kauli dhidi ya ile kauli ya kijinga ya mwentekiti wao aliyesema kuwa wanawake wasiwape unyumba waume zao kabla ya kuwauliza kama wataichagua CCM.
 

UWT HAITAMVUMILIA KIONGOZI YEYOTE MWANAMKE ANAYEKIUKA HAKI ZA BINADAMU

27 Novemba, 2023

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mary Pius Chatanda amesema UWT imepokea kwa masikitiko tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashim Ally.

"Sisi UWT tunazunguka nchi nzima kupinga ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili hivyo tunapinga vikali kitendo hiki na endapo tuhuma hizi za Mhe. Pauline Gekul zitathibitika hatua stahiki zichukuliwe na adhabu kali itolewe dhidi yake" - Amesema Mhe. Chatanda.

Aidha amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutengua Uteuzi wa Mhe. Pauline Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.

#UWTImara
#UWTJeshiLaMamaSamia
#TunapingaUkatiliWaKijinsia

WhatsApp Image 2023-11-27 at 20.26.54.jpeg
 
Inafikirisha sana
Kwa hili, huyu mwanamke kaonyesha tabia yake hasaa! Haiwezekani kama wewe huingizwi kitu matakoni na haujawahi, umuingize mtoto wa mwenzio chupa! Huyu angekuwa mwanaume angemuingili yeye mwenyewe, na kwa kuwa yeye ni mwanamke kaamua kuzielezea hisia zake kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom