The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
ndio mafeminists walivyo mkuu yani kwao mwanamke hasa mwenye mbdili na anayeikubali nafasi ya mwanamke wanampinga vita, feminism inampango wa kujenga madume jike nganga ngingi hakuna maadili na familia kwao sio kipaumbele na kuwajaza sumu wanawake kua mwanaume au mume sio muhimu cha muhimu careerMtu hana ndoa.
Mtu kapata mtoto mwenye baba wanne.
Eti ndiye Katibu Mkuu wa wanawake wote wa CCM!!!
CCM imeishiwa lakini si kwa kiwango hiki kwa kweli!