Hakuna philosophical thinker anayeweza kuweka definition yake, sana sana ni mapovu ya Lumumba.Wadau nisaidieni uzalendo ni nini maana wamshabikiao jpm wanasema ni uzalendo waoneshao uozo wanaonekana si wazalendo je uzalendo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna philosophical thinker anayeweza kuweka definition yake, sana sana ni mapovu ya Lumumba.Wadau nisaidieni uzalendo ni nini maana wamshabikiao jpm wanasema ni uzalendo waoneshao uozo wanaonekana si wazalendo je uzalendo ni nini?
Unatakiwa kuwa Ndiyo Mzee.Kuna watu wana jiuliza uzalendo ni nini baada ya kuona mahakama ya mafisadi haijawahi kufunga hata mtu mmoja wakati kuna wanasiasa wanapigwa risasi mchana!!
Uzalendo ni kupenda nchi yako kwa moyo wako wote na kupongeza serikali pale inapofanya vizuri na kukosoa pale inapofanya vibaya.
Haahahaa!! Ila wewe nae bhana ujue kuna "mother tongue" za watuUzalendo na sio uzarendo
Huko shule ulienda kusomea ujinga?
Ndio matatizo ya yenu, yaana mna mambo ya ajabu sana, hoja umeielewa, kosa la herufi limekufanya usijibu hoja, haya wewe mzalendo.Uzalendo na sio uzarendo
Huko shule ulienda kusomea ujinga?
Ahsante mwanangu!sawa baba