Huo Uzi hauwezi pita siku sijapitia kujua habar za wababe wa dunia[emoji4]Mimi Uzi wa mgogoro wa Russia na Ukraine nauchukia Sana,Kuna siku nilijaribu kufungua nakuta Ni liuzi lirefu na vitu havieleweki nikasema siwezi shoboka na mambo ya nchi za watu.
Tangu siku hiyo huo Uzi huwa naupita kwa Kasi ya 5G
1. Kwanni utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini
2. Uzi wa kupeana likes
3. Uzi wa vyakula: Mwanzisha uzi alipost mkate una panya ndani yake. Hiyo picha ilinifanya niuchukie uzi mzima.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi sijawahi elewa wanachat nin mulee"Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa kijana wa Buguruni" [emoji848] Huu uzi una trend kweli! Ila sijawahi kuulewa unahusu kitu gani hasa.
Kuna siku nilijaribu kuufungua, nikakuta watu wanatukanana! Nikabakia tu mdomo wazi.
Daah yani mbona watu tunafanana[emoji3][emoji3]Uzi wa fedha za rafiki yangu zilivyofanya nimuamini shetani..
Moja ya nyuzi boraa kabisaa na huu upo.uzi wa tuliowahi kupata fedha na kufilisika.......dah naona hadi kichefu chefu
Huu mbona mzuri sana tu boss sema mwanzoni unaweza usiuelewe"Hatima ya maisha yangu iko mikononi mwa kijana wa Buguruni" π€ Huu uzi una trend kweli! Ila sijawahi kuulewa unahusu kitu gani hasa.
Kuna siku nilijaribu kuufungua, nikakuta watu wanatukanana! Nikabakia tu mdomo wazi.
Yaani ule uzi wa kijinga sana wakusema eti β¦. after hopeless years sijui kitu gani, yaani ningekuwa na uwezo ningempiga BAN mleta maada ya maishaMimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka
Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi.
Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule wa "Tupia picha ya mdada wowote mzuri" ule uzi ukiuendekeza utakuwa Diego Maradona kila siku.
Wewe ni uzi upi huuelewi lakini muda wote una-trend na comments za kutosha?
Huyu hayuko serious. Hivi kuna Uzi unafurahisha Kama ule? Mimi nikiona nimekuwa bored tu naufungua huo. Kuna watu walikuwa na mamilioni mule wamefilisika Hadi wamerudi kwa wazazi πππMoja ya nyuzi boraa kabisaa na huu upo.
Upo kama mimi π€£,Uzi wa Dar vs Nairobi, Kahama vs Njombe. Miaka yote naziona zipo ontrendng ila sijawahi kuzifungua
Kati ya hizo ulizotaja tatu ni zanguUzi wa Selfika na Post picha
Uzi wa vyakulaa
Uzi wa Kijana wa buguruni alivyobeba hatma ya maisha yangu
Uzi wa Dar vs Nairobi
Uzi maalumu wa kupeana like na comment
Namba 3.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Kwanni utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini
2. Uzi wa kupeana likes
3. Uzi wa vyakula: Mwanzisha uzi alipost mkate una panya ndani yake. Hiyo picha ilinifanya niuchukie uzi mzima.