Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya phenomena haimaanishi hazipo Duniani.

Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya mambo haimaanishi hayapo.

Na kwa kuwa wewe huelewi utendaji kazi wa Mungu haimaanishi hayupo.

God exist!
 
Ukisoma kitabu cha mwanzo kwa umakini Mwanzo 1:1 -31 utagundua roho wa Mungu na neno ndivyo vilivyotangulia kuumbwa hata binadamu (Mtu) ilianza kuumbwa roho kwa maneno ya roho wa Mungu. Sisi wanadamu ni roho zilizopewa mwili kizungu wanasema spiritual being living in flesh.... kwamba kama roho ndio inayoacha mwili ndipo tunapopata kitu kinaitwa kifo bila roho kuacha mwili hakuna kifo. Nisiende sana huko ukija kwenye Mwanzo 2 : 4 inasema nanukuu ...Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa. Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi 5 hapakuwa na mche wa kondeni bado wala mboga ya kondeni haijachipuka bado .... hapa nataka mpate picha halisi ya nini kilifanyika kitabu cha mwanzo 1 kinaelezea uumbaji ulivyoanza ulianza kwa neno mpka siku ya saba Mungu anapumzika alikuwa ameshafanya uumbaji wote kimaanisha kiroho kila kitu kilikuwa kimeshaumbwa ilibaki uumbaji ule kuja kwenye mwili...yani physical realm yani sijui kama mnanielewa...... Roho mtakatifu tufundishe. Huo ni ufupisho kidogo japo natamani kuendelea sasa turudi kwenye swali la kwanini Mungu anaruhusu mabaya yapate wanadamu.

Mimi nianze kukuliza wewe tufanye uumbaji huu ni project yako je utaruhusu mtu yoyote kufanya matumizi yasiyosahihi yaliyokinyume na madhumuni yako? Natumai jibu ni hapana je ni sahihi Mungu kukasirika? Kama wewe ni mzazi utaelewa vile ambavyo mtoto wako akimisbehave kile ungefanya kuna tofauti gani Kwa Mungu wakati si ni mfano wake? Ni vibaya Baba kumrudisha mtto wake katika njia impasayo? Majaribu ni mtihani wetu ili kutupeleka kiwango kingine.......katika kila jambo Mungu huliachilia huwa ni namna yake yakuzungumza na sisi inategemea wewe unaliangaliaje? Wakati mwingine anaongea baraka kupitia machungu kipimo chako cha kuvumilia na kutambua Mungu anasema nini ndicho kitakachokusaidia kuvuka......(nimekatisha hili pia mana ni mada pana)

Kwanini Mchungaji aliliwa na mamba wakati alikuwa nafanya kazi yake......(God is still saying something) kwa akili zangu za kawaida ningejiuliza je kazi hiyo aliyokuwa anafanya ya kubatiza watu alikuwa anamfanyia Mungu yupi? Kama ni Mungu huyu muumbaji Ningejiuliza je alipata kibali? Is it God will or it was his will .....bado kuna vitu vingi ambavyo sisi hatujui lakini Mungu yeye anajua itusaidie tu kujua Mungu hashindwi kuokoa....
 
Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya phenomena haimaanishi hazipo Duniani.

Kwa kuwa wewe huelewi baadhi ya mambo haimaanishi hayapo, na kwa kuwa wewe huelewi utendaji kazi wa Mungu haimaanishi hayupo.

God exist!
Eti anashangazwa na tukio la Mamba...Kama Mungu alimruhusu Shetan amtese Ayubu ,nakumfanya watu wamkimbie ,mpaka mkewe kumkejeli , sembuse hili la Mchungaji na Mamba??? .

Unajua hio ndo shida ya kukosa malezi ya Uchaji Mungu Ungali mdogo ... Matokeo yake kunawafanya wawe na Maisha ya Anasa yalojaa upumbavu tuu hata kufikia kuhoji Ukuu wa Mungu.

Sio kitu ni Upumbavu tu
 
AMINA..
 
Asiyeamini kuna Mungu bado yuko gizani, nuru ikimpata atabadili mtazamo!
 
Kwa kuongezea ni pale unapomuona Trump, Kim Jong-un, Putin, BillGates, Dangote n.k. anatoa machozi sababu ni kifo alichoshindwa kuzuia kisitokee kwa mpendwa wake, pia unapomuona Steve Jobs anatoa machozi sababu anajua hana namna ya kukwepa kifo
 
Bila kujalisha matokeo mabaya yanayowakumba wanadamu, hayamzuii Na Wala hayamuondolei Mungu utukufu Na ukuu wake. Yeye yuko ambaye yuko na atakuwepo milele Na milele
AMINA.. na kila Atakae Amini Ataokoka.
 
hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
 
Sikuwahi kujiuliza kwa nini haipiti siku lazima nitaje jina la MUNGU"
Sababu najua yeye ndiye JANA,LEO,KESHO na hata MILELE.
UHIMIDIWE MFALME WA WAFALME.
 
hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
Muhimu nimefurahi kusikia unamwamini Mungu the supernatural spirit.. The rest yatabaki kuwa yako.
 
Sina Biblia hapa nilipo ila naomba mtu aweke maandiko haya.
.
.
.
2Wafalme 20:5
 
kuna watu wanataka wajifurahishe jf kwa kumpinga Mungu ila weng wao wanafanya hvyo kwa hofu kubwa, bahat mbaya unawafurahsha ambao hawana msaada kwako.
Amina... Pumzi ikitaka kuwakimbia wanatoa macho kama ndege john.
 
hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
wewe unamaanisha nani ambaye Yupo.
 
Kuhusu Mamba? Mungu hafanyi kazi kwa hisia za "Mungu wake atamlinda". Hata ivo Akiwa kama mchungaji , je unaijua imani yake alonayo?? Nani alijua yaliyoko nyuma yake???

Nivipi kama Mungu aliruhusu ilo ili Kuumisha Nyuma ya pazia lake???.

Nakupa kisa Bwana mdogo,, Kuna mchungaji alikua anawaombea watu, mkarimu hata kila mmoja alimpenda...lkn kumbe alikua akirudi nyumban Anachukua video za Ngono ,anajifungia chumban anatizama.

Siku iyo km ratiba zake ,akiwa kajifungia ndani anatizama Ngono, akapata mshituko,, Akafariki, , muda mfupi kidogo ,rafiki wakw alifika ,nakushuhudia mchungaji kafa na videon kunachezwa Ngono.

Mungu ukimuamin 100% atakuokoa, lkn ukimwamin 99.9% atakuumbua mbele za watu tena kwa aibu.

Imani ya Paulo na sila ,iliwafungulia milango ya gereza, imani ya Ile iliwaponya vipofu na viwete, imani ile ilimfufua Lazaro, Imani ile inamfanya mtu kua kichwa nasio mkia.ila nishariti iwe 100% juu yake.

Hata ivo MUNGU HAJARIBIWI,, hata km unamwamin 100% ,huwez kuona Hatari ukaacha kuchukua tahadhar ukitegemea Mungu akmtakutendea miujiza .....

Huwezi kwenda ktk makazi ya simba, kwakua unamwamin Mungu ukasema nitapita hapo hapo katikati ya simba .... Hata Simba ni viumbe wa Mungu pia.


Mwisho, Daniel alivyotupwa katika shimo la simba, moyon mwakw hakua amwjikweza, bali alijishusha nakuaacha Mungu atende kazi, ....Ndipo Mungu aliwaziba vinywa walw simba nahawakumlalua ......Mungu humsaidia mtu katika wakati ambao haamin ktk angemsaidia lkn kutochukua tahadhar ukaishia kumjaribu Mungu kwa kumpima IMEKULA KWAKO .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…