Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

kama umekuwa ukinifuatilia humu utagundua sijawahi kupinga uwepo wa muumba
tatizo langu lipo kwa yehova na allah
Huko Mimi siingiliii na huna haja ya kupinga kwa nguvu sana muhimu ni kuwaacha wengine waendelee kuamini wanavyoamini wao.

Kwa vile umeamini God exist basi you are safe.
 
Amina
 
hivi nyinyi watu weusi nani kawaroga?
yani unaamini hadithi za kitoto za kwenye hayo maandishi yanayoitwa biblia?
ndio maana tunafoutiana kuhusu mungu
wengine mnaposema mungu yupo mnakuwa mnamaanisha yesu ndio mungu...pitiful
Wapi mimi nimetaja Yesu? kwani wewe umetumia nini kuleta bandiko lako? Samahani hivi hao wanasayansi waliokiri kuwa yupo supreme being ni waafrika!!! Biblia haina tofauti na hizo doctrine zingine kama utaisoma ukiwa umejilimit kiasi hicho unasoma ukiwa na mentality hiyo sishangai majibu yako.....read bible with free mind braza you will meet God because God is pure.
 
Kuna myth nyingi sana kwenye haya maswala ya Mungu kuwepo, kutokuwepo, dini zetu nk nk.

Ukisoma sana haya mambo unajikuta unabaki na sintofahamu, huu mjadala hautakaa upate mshindi.
 
Ameen
 
Huko Mimi siingiliii na huna haja ya kupinga kwa nguvu sana muhimu ni kuwaacha wengine waendelee kuamini wanavyoamini wao.

Kwa vile umeamini God exist basi you are safe.
tuwaache waendelee kuliwa hela zao eti sadaka
 
nimuamini hyu yesu wako wa kwenye biblia ambaye alidanganya wazi hapa
Matthew 16:28
28 “Truly I say to you, there are some of those who are standing here who will not taste death until they see the Son of Man coming in His kingdom.”
 

Dalili kubwa kabisa na ya pekee inayoweza kukufanya ujue kama Mungu yupo, (ambayo isipokutokea katika maisha yako, huwezi kujua kuwa Mungu yupo hata kama ungeishi miaka million 3), ni hii hapa: ni pale tu inapotokea unakuja kugundua kuwa matukio karibia yote uliyokuwa unayaona katika maisha yako kuwa ni coincidences, hazikuwa coincidences na yana conform to a certain very well organised pattern, na ya hali ya juu sana kuonyesha kuwa yalikuwa deliberately planned but by no one you know of in this world, except that either nature au someone special, na yamekuwa organised katika namna ambayo hata wewe mwenyewe ungeambiwa uyapange kwa utaalamu huo, usingeweza.

Sasa ukirudi kwenye nature, yenyewe haina organised pattern, ina random pattern au coincidences tu na ndiyo maana inapotokea kuna pattern somewhere inabidi watu wafanye utafiti, kwa mfano the most poular case of the Bermuda Triangle, watu walishtuka baada ya kuona kama kuna pattern ikabidi waanze kufanya utafiti. Nature huwa haina organized pattern na ukikuta kuwa organized pattern ipo, na katika matukio ambayo ni natural kwa maana kwamba si binadamu anayehusika wala si nature inayohusika, then huyo ni Mungu. Hiyo ndiyo revealation pekee hapa duniani inayoweza kukufanya u-confirm uwepo wa Mungu.

Revealation ya namna hii huwa inatokea kwa kila binadamu ila uwezo wetu wa ku-capture scenes za namna hii ndiyo tunaotofautiana kwa kiwango kikubwa sana, lakin the best thing ni kwamba kila mwanadamu anao. Hata hivyo, mwingine anakuwa ana uwezo mdogo mno wa kuona pattern from a mixed set of several coincidences na hii ndiyo inakuwa shida, hawezi akaja aka-discern uwepo wa Mungu hata angeishi miaka billion 10!

Kwa mfano Kanisani kuna kitu kinaitwa Ujazo wa Roho Mtakatifu. Watu walioko kanisani wana-enjoy karama hii kwa viwango tofauti tofauti , hawafanani, na kulingana na wanavyoamini ni kwamba wale ambao hawako Kanisani hawana karama hii. Still, utafiti wangu umekuja kunionyesha kuwa watu wote wana Karama hii, isipokuwa inakuwa enhanced zaidi kwa mtu anayeenda Kanisani ukilinganisha na yule ambaye huwa haendi. Lakini hata wale ambao wamo Kanisani, wanaipokea kwa viwango tofauti tofauti, hawalingani. Na kwa wale ambao huwa hawaendi kabisa makanisani walishaibatiza jina MACHALE, bila kujua kuwa ni Roho Mtakatifu!

By the way, let me pose a fundamental question to you. Hapo ulipo sasa hivi kuna vitu physical vimekuzunguka, ambavyo si viumbe hai. Vyote ni kazi ya mikono ya wanadamu. Je, kwa vile ambavyo si kazi ya mikono ya wanadamu ukiwemo wewe mwenyewe, ni kazi ya nani?

cc: Kiranga
 
Maandishi murua sana haya uliyoandika muhimu watu wayasome na kuyatafakari kwa kina.

Nimependa!
 
ana sifa zote zipi?
mungu anakufa?
mungu anasema uongo (yesu alisema uongo)
malizia na swali langu mkuu.
naona kama umekubwisha kwenye masuala chipukizi, huku hoja kuu unayotakiwa wewe kueleza ukiitia kapuni. ukimaliza nitatoa maoni yangu juu ya maswali yako chipukizi.

huo ndio uungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…