Ndio ninao ushahidi. Niko nae kila siku. Kama hapo ulipo hujawahi muona karibu kwangu utathibitisha uwepo wake.Hata kama sijaviona ila vimethibitika vipo, uyo Mungu nani kumthibitisha, una ushahidi wa uwepo wake?
Umeanza siasa Sasa, we mwenyewe unajua icho unachosema si kweli Bali siasa tuNdio ninao ushahidi. Niko nae kila siku. Kama hapo ulipo hujawahi muona karibu kwangu utathibitisha uwepo wake.
Kuthibitisha ni jambo dogo sana. Tupange appointment, usipomuona nakulipa.Umeanza siasa Sasa, we mwenyewe unajua icho unachosema si kweli Bali siasa tu
Siasa izo, Mungu hayupo. So hawez kuonekana popote paleKuthibitisha ni jambo dogo sana. Tupange appointment, usipomuona nakulipa.
Try me.Siasa izo, Mungu hayupo. So hawez kuonekana popote pale
We mwenyewe unajua ni kitu kisichowezekana, kubali tu ukwel kuwa hakuna Mungu, maisha mengine yaendeleeTry me.
Mimi sihusiki na hayo mambo, kila mtu yupo responsible kwa actions zakeNamaanisha, Kuna wanaoamini, wanaweza kumchinja mtu na kusema wametumwa na Mungu kufanya Ivo, au wakajilipua... Kwa wakristo mnafurahia wapalestina wakiuawa huwa mnamaanisha nini?
okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.
Ulichofanya wewe nikubalisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.
That's why nilisema hapo juu Mungu ni jina tu
Pia hapohapo utakuwa umekubaliana na uwepo wa "Nature" regardless ya jina gani unalotumia kuiita hiyo nature.
Ukiamua kuiita hiyo Nature, Mungu God, Allah n.k vyovyote vile point inabaki palepale kwenye nature.
Hivyo Mungu ni jina tu.
Sasa izo Sheria za kutokufanya kazi jumamosi, kutokula nguruwe au kutotakiwa kunywa bia mnazitoa wapi?okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,
unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,
unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,
theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,
ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc
na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature
Yeah pia sisi ni part of nature na kila kitu ni nature.okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,
unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,
unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,
theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,
ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc
na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature
kila dini ina njia zake na traditions zake,Sasa izo Sheria za kutokufanya kazi jumamosi, kutokula nguruwe au kutotakiwa kunywa bia mnazitoa wapi?
Binadamu pia limit ya akili yetu ina limit inapoishia
Mfano ndo unakutana na Mtu anayesema "Mungu Hayupo kwasababu Huwezi kumuona wala kumgusa wala kusikia sauti yake"
Tatizo theists mnaichukulia nature, kama ni kitu kinachojitambua kama sisi au chenye akili kama sisi wakati sio kweli.okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,
unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,
unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,
theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,
ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc
na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature
Mimi najua yupo, nimemuona na nimethibitisha.We mwenyewe unajua ni kitu kisichowezekana, kubali tu ukwel kuwa hakuna Mungu, maisha mengine yaendelee
wewe labda haujui unachoongea kwaiyo unajiona una akili sana au unajielewa sana,Tatizo theists mnaichukulia nature, kama ni kitu kinachojitambua kama sisi au chenye akili kama sisi wakati sio kweli.
Hiyo nature haijali umekula nn, umevaa nini, au umempigia nani kura, Wala sio kitu kinachojua kila ktu kinachotuhusu yani Hadi kujua kesho tutafanya nn, Wala haina siku ya hukumu Wala haina taifa teule. Ayo yote tumeyatunga binadamu kwa imagination zetu.
Consciousness yangu n zao la evolution..wewe labda haujui unachoongea kwaiyo unajiona una akili sana au unajielewa sana,
uelewa wako na consciousness yako imetoka wapi ?
Najua ninachokiongea, hizo dini zote ni stori tu za kutungwa na binadamu kama sisi.wewe labda haujui unachoongea kwaiyo unajiona una akili sana au unajielewa sana,
uelewa wako na consciousness yako imetoka wapi ?
huu uzi hauongelei Dini, hiyo ni mada nyingine, alafu ukitaka kujadili dini ki ufasaha ni lazima ujikite kwenye dini moja ndo uichambue,Najua ninachokiongea, hizo dini zote ni stori tu za kutungwa na binadamu kama sisi.
Na ndo maana hata nyie mnaoamini Mungu, hamziamini.. kwa mfano we kama mkristo najua hauamini mafundisho ya kiislam na Quran na unajua kabisa ni uongo, Muislam nae Ivo Ivo anajua mafundisho ya Kihindu ni ya uongo, myahudi nae anaamini Imani ya kikristo ya yesu ni stori tu za uongo.
Ko hata nyie Theists mnajua kabisa hizi dini ni stori tu za uongo.