Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hapo ningekushangaa, ngosha aache ugali? Thubutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo sidaiwi likes hata moja
Kwa sasa uzi huu unakuhitaji sana pengine kuliko hata Goddess anavyokuhitaji. Busara zako, ukomavu wako, ucheshi wako, uelewa wako na all around good character ni muhimu sana. Usije hata siku moja ukafikiria kuleta abra kadabra kama za KK au Ho Chi Minh. Litakuwa pigo kubwa sana kwa uzi huu.

Katimize majukumu yako ya kizee (wa Masaki), pumzika vizuri na kesho Mungu Akuamshe salama tukutane hapa!
 
Na yule mfalme mwenye hekima pia haonekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee yupi? Wa Tukuyu? Mbona yupo humu napishana pishana naye. Amesema anaendesha kutoka Tukuyu kuja Dar. Nilisikia anamwambia Carba kuwa amemiss maembe ya chumvi na mahindi ya pili pili. Tumuombee aendeshe salama na Mungu Amfikishe salama Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…