Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa nini asizitume kwa njia nyingine? Nilisafiri kwenda Mbulu mvua zimenyesha kutoka pale Mto wa Mbu kupanda milima ile tope gari linacheza nikasema aisee sirudii tena huu mchezo aisee. Sijui kama walishaweka lami pale...
Sio ile barabara watoto wa shule walipata ajali(Mungu azilaze mahali pema peponi roho zao)? Kama ni ile Ina lami
 
Mkuu,hiyo amri ni ngumu na haitekelezeki kabisa.Nisitamani? amepita mbele yangu,kitu inatetemeka kwa nyuma. Siku ya mwisho sina cha kujitetea kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tutaokolewa kwa neema mkuu. Vinginevyo hali itakuwa tete hasa kwenye hizi dhambi za kimaumbile ambazo unaweza kuzitenda unconsciously. Na misambwanda siku hizi ndo inazidi sasa. Mitaani huko shida tupu. Mtu unatoka home na moyo mweupe kabisa kuwa leo hii kwa neema ya Muumba niepushiwe dhambi ile unakata kona ya kwanza tu from nowhere msambwanda unabingirika kwenye dera utafikiri gravity yote imekusanyika hapo kupambana. Basi unasonya tu na kusema Jesus take the wheel. Tudumu katika maombi ila hali ni ngumu kwenye hili suala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…