Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kakishua kapi hako broo embu nijuze kidogo
Ni utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...

Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…