Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is no fair elections in Africa
Fanya yako watawala wafanye yao
Siasa kwa Afrika bado sana
Tuheshimu mamlaka zilizopo maisha yatasonga tu
Siyo Afrika. Ni popote pale. Hata Wamarekani ukiangalia kwa undani sana utaona demokrasia yao kimsingi ni project inayotawaliwa na kuamuliwa na watu wachache tu wenye pesa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…