Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi wanafahamu basi tu kujiona wa mjini wanaamua kuzusha kwa maslah yao binafsi

Kuna watu wanazusha eti fukufuku nae analeta magonjwa ya ngozi
 
Hivi ni kumchezea au kupeana haki ya ndoa. Mke sio object yako ya kuchezea kwa sababu kama ni feelings naye anapata na anafurahia. Wacha kudharau wanawake
Samahani sikuwa na maana hiyo. Ni ngumu katika hali ya kawaida kufanya hilo tendo kwa siku kumi mfululizo kwa uhitaji wa wote. Samahani kwa makwazo yaliyo tokea. Pata like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…