mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu hakuna kosa lisilo na dhamanaOK. Aliwahi kujipeleka Central na mawakili karibia 10 wakiwemo wazungu. Bila shaka ana wanasheria bora kabisa upande wake. Sheria basi tuiache ikereze tu kwa sababu yenyewe hukereza kote kote. Ni high profile case na bila shaka haki itatendeka siyo kama masikini wanaolimwa mvua 10+ kwa kesi ya kuiba kuku!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Hii kitu hii[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hamna bali kuna ubakaji kwenye mimea pia hahahHuo mpapai unafanya mambo ya kikubwa wakati bado mdogo
Usisahau kwenda kuogelea baharini labda ndoa yako na nsamaka itaimarika zaidiNdio mkuu,bado nasafisha nyota
Sema shemeji....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Hii kitu hii[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kisasi ni cha Mwenye Enzi MunguAmen shemeji. Nsamaka wangu hajambo?
Teh teh tehHamna bali kuna ubakaji kwenye mimea pia hahah
Miss wa kisambaa karibu ulingoniUkija usambaani mm ndiye miss wa kudumu
Watumiaji wa hiyo kitu labda watatujuza tusubiri majibuHivi kitimoto nacho kinasababisha gaut?
Nice,wanatuchokoza tuAchana naye my princess umeona sijatoa hata likes moja kwake
Unampotezea tu