mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Safi kabisa mkuu karibuHabari za muda huu wanakijiji
AMUN RAAisee
Divide and ruleHayati Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ni watawala wakubwa kuwahi tokea duniani ambao hakika wengi wetu tumepata kuzisikia habari zao. Niliposoma historia zao na hatima zao nikapata hili; Leo hii ukizitazama nchi walizokuwa wakiziongoza kama maraisi utagundua hali ni mbaya sana zaidi ya mwanzo walipokuwa madarakani.
HahahahahaLestorofio Gone misto Yegomasika lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]
Kama hujanielewa subiri 2hrs
ColeNakupenda na kukuheshimu sana shemeji. U binti wa kipekee sana kwa mtazamo wako, ucheshi wako, ubinadamu wako na simplicity yako. U mmoja wa watu ambao hunifanya nisikose katika uzi huu. Huwa navutiwa sana unapowachachafya akina KK na Mzee wa Tukuyu katika utani wa kirafiki na kindugu. U mtu mwema na binadamu wa aina yake. Mungu Azidi kukuongezea maarifa na hekima zaidi. Shemeji ASANTE SANA !!!
Like ni muhimu lakini unapoamka cha kwanza mshukuru muumba wako kwa Mema yote anayokutendeaHuu ni mtihani kwa wengi. Hapo mbele nilikuwa nasali kwanza kila nikiamka lakini sasa ni simu kukimbilia kwenye likes. Itabidi nijirekebishe ASAP!!!
Kusali ni muhimu sanaAiseeh...nikiamka kwanza ni lazima nimshukuru Mungu then ndo niingie huku...kusali ni muhimu kwakweli
Huyu mzee huyu
HahahahahaMbunge wa Kiembesamaki umeanza vituko vyako. Lugha ngeni hii unategemea watu wakuelewe? Lugha rasmi ya bunge hili ni Kiswahili na Kiingereza tu. Ukitumia lugha nyingine toa tafsiri please!!!