Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....

"Za hasubui Mupenzi,

Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"

*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae"
Kama ni Muhaya hakuna cha ajabu hapo Wao kuchopoa negative marker h- na kuiweka isipotakiwa ni jambo la kawaida hata wawe na Ph.D...
 
Hiyo hela si nishamiliki IST[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji594]
Ndiyo maana nikakwambia hapa parefu. Huwa anaalikwa na watu wenye nazo kwenda kuwapiga piga nayo haya usoni na hata kufanya face seating...Anyway, kula likes achana naye huyu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…