carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
KK hukuninako kaa saa hii ni usiku[emoji23][emoji23][emoji23]niache nilale bhanacarbamazepine usingizi gani huo?
Asante mkuuKaribu tena
Nikiondoka wani miss eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo mana nilikuwa sipati usingizi wantaja taja tuHuyu carbamazepine bado kalala tu?
carbamazepine njoo bhana
KaribuPazuri huku
Nimekuja leta maneno sasacarbamazepine njoo bhana
Tabia ya kuchungulia umeanza liniNipo mkuu sema nachungulia chungulia sana
Nilifikiri kuwa Wakenya wana kaunafuu kidogo; na kwamba tume yao ya uchaguzi angalau ina kauhuru japo kidogo. Kweli ni kuomba amani tu. Demokrasia !!!SYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
We run together..I can't run from my self
Pole na kaziI can't run from my self
Na TZ je??
UsiwazeMbona Mimi sipewi likes?
Si ulikuwa unaniita ita hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na siondoki hadi unambie ulichokuwa waniitiaHebu rudi kalale huko naona bado usingizi unqkusumbua
Toa likes upate likes,karibuMbona Mimi sipewi likes?
HahahahaSA vipi huko Zuma Vipi jamani kapona
Hapo ndo patamu sasa. Ndo maana wakati mwingine watu wanachoka na machafuko yanatokea. Cha kushangaza zaidi, na pengine hata kusikitisha, hawa wanaopigana kuingia madarakani nao wakiingia mambo ni yale yale. Ni nadra sana kwa zao la mfumo ule ule kutoa watu wenye mawazo na falsafa tofauti. Matokeo yake nchi zetu hizi ziko pale pale tunapiga maktaimu...Moi alishinda chaguzi zote ya kwanza dhini ya Jaramongi baba yake Raila
Ya pili dhini ya Mwai kibaki kumbuka Katibu mkuu wa KANU alikuwa Raila wakati wanakwenda kwenye uchaguzi mwingine baada ya Moi kumaliza muda wake akatoka KANU na kuja kumsapoti Kibaki dhini ya UHURU
Nguvu ya Kibaki akiwa opposition na Ya Raila aliyetoka KANU wakiwa tayari na mbinu zote za uchaguzi
Uhuru alishindwa asbh na mapema chaguzi zilizofuata kila mtu anajua nini kilitokea
YupToa likes upate likes,karibu