mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Since there is no free lunch, there are always strings ATTACHed !!!No strings ATTACHed
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Kweli leo umejipanga lol!sasa siend kokote[emoji28][emoji28]
Hahahahaa Asante bro za Muda kiasiSema bro. Welcome to Cole's world !!!
Hahahahaha[emoji28][emoji28]ndio raha ya uzi huu
Sisi tunaelewana
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]tukupeleke kwa gwajise akuombeee
Pole, unauza nyumba ili upate ubunge? Lazima utalazimisha ushindi ili kujiokoa.Yaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
Hiyo atagundua mwenyewe akina KK wakibisha hodi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie kupendana kupo lakini