Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


 
Muongo mjasiri anakutazama machoni ili akudanganye vizuri.
 
Jina la Kiingereza la ugonjwa huo, “arthritis,” linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha “viungo vilivyovimba,” nalo larejezea magonjwa na hali mbalimbali za yabisi zaidi ya 100.* Mbali na kuathiri viungo, magonjwa hayo yanaweza kuathiri pia misuli, mifupa, na kano (mishipa inayounganisha misuli na mifupa) mbalimbali zinazotegemeza viungo. Aina fulani za yabisi-kavu zinaweza kuathiri ngozi yako, maungo ya ndani ya mwili, na hata macho yako. Tutachunguza hasa magonjwa mawili ya aina ya yabisi-kavu, yaliyo ya kawaida sana—ugonjwa wa osteoarthritis na baridi-yabisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…