Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa nilikutana nao kutoka nchi fulani ya Kiafrika wanaishabikia Chelsea kiasi ambacho wana picha siyo tu za wachezaji bali pia za Dasha Zhukova.

Mnamjua Dasha? Ni mpenzi wake bwana Abramovich. Tajiri huyu wa Kirusi kishazaa watoto saba na wake wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…