[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii bongo movie kama arsenal vile
Where there's a will is always there's a way.Where there is HOPE there is LIFE
CantstopwontStop
Kwani Andjul anataka kucheza faulo kwako mkuu?Nipo we Mzee una jipya lolote
CantstopwontStop
Wenger in mpaka atake mwenyewe kuacha timuWenger in
CantstopwontStop
No limbwata nimekupenda mwenyewe kwa akili zangu bila kushawishiwa na mtu yeyote. Nakupenda kweli
Kama Bob12 anavyo ipenda Arsenal
CantstopwontStop
Sasa kwa mfano mkuu kama wote humu tukianza kutuma hizo namba itakuaje humu?! Coz wengi tunajua jinsi ya kutuma hizo code ila tumepoa tu!I understand you totally. Tuvumiliane tu hivyo hivyo. Pamoja na kuburudika, wengine tupo hapa kujifunza funza vitu na kujenga urafiki; na hata kupeana mbinu za ujasiriamali. Wengine wapo hapa solely kwa sababu ya likes. Na kuweka namba ni rahisi zaidi kuliko sisi kuhangaika ku-type kuendeleza maongezi na utani. Tuvumiliane tu hivyo hivyo mkuu.
Hichi kibabu kilishailoga bodi ya arsenal siku nyingi sanaBila Wenger kufurushwa kwa nguvu Arsenal itabaki hivi kwa miaka mingi ijayo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Amekuwa Roma, labda na yeye akienda Zimbabwe atatueleza kilicho msibu[emoji16][emoji16]Hahaha....mmemuuliza alipokuwa!?
Just happiness
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] were mzee utaua watuPresha na timu ya mchangani