Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Leo naona mpira umekubana. Kwenye mazungumzo ya kawaida huonekani. Timu yako naona imeshinda basi ni full kipupwe.Bro Uko vizuri
Gudi word
CantstopwontStop
Leo naona mpira umekubana. Kwenye mazungumzo ya kawaida huonekani. Timu yako naona imeshinda basi ni full kipupwe.Bro Uko vizuri
Gudi word
CantstopwontStop
Wenger hana aibu hata kidogo.Hichi kibabu kilishailoga bodi ya arsenal siku nyingi sana
[emoji116] [emoji116]9. KINGA YA MWILI
Vitamin C iliyomo kwenye chungwa huimarisha uzalishaji wa seli nyeupe ambazo ni muhimu kwa uimarishaji wa kinga ya mwili. Unapokuwa na kinga imara, huwezi kusumbuliwa na magonjwa mara kwa mara, yakiwemo malaria.
8. UKUAJI WA UBONGO
Chungwa moja lina kiasi cha asilimia 10 ya ‘folic acid’ inayohitajika mwilini kila siku. Madini haya ni muhimu kwa afya ya ngozi na ukuaji wa ubongo kwa ajili ya kuimarisha kumbukumbu na uwezo wa mtu wa kufikiri.
Akiongea anaambiwa mchonganishiTundu Lissu akhoji dola kuvunja mikataba bila kuangalia athari zake
Kabisa carba nakuonga mguu OhooBila stori uzi unapoa na kwenye stori hizo wengine tunajifunza vitu
Moja bila mkuuMkuu, mmetandikwa mangapi? Kila ninakokwenda ni Aseno Aseno Wenga Wenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mademu wa nini
HahahahahaPiga aooooo watoto wa Wenger
CantstopwontStop
Mkuu hiyo hali sijui inazoelekaje? Huwa lightning sizipendagi kabisa...