Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AJALI MOROGORO: Watoto kadhaa(Wanafunzi) wafariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kwenda shule kugonga Treni. Taarifa zinaripoti kuwa basi hilo aina ya Coaster lilikuwa likitokea Kihonda.View attachment 573733
Mkono wa Mungu ukaonekane...Marehemu wapumzike salama.

Kugonga treni mchana kweupe tena mjini mjini hivyo mara nyingi ni uzembe wa dereva kutaka kuwahi au ubovu wa gari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…