Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa nini umejisiriba miwani myeusi kama Lemutuz? Tunacheza lini? Tunacheza na nani?😎😎😎😎😎😎
haswa...najisikia naendesha gariKwa nini mkuu? Unapendelea za Mjerumani?
Leo si ndiyo siku mliyopanga akuletee mapera na biskuti kwa ajili ya Viv. Mi sihusiki na mipango yenu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Aisee naomba umpe salamu jakitoo popote alipo😵😵
Salamu tu😉
Ana jiinterview. Mwenyewe hiyo kaliExclusivee... naji Interview mwenyewe
[emoji115][emoji115]nenden mkacheke kidogo huko mana nmenuna sana humu
09.09. 17:00 Arsenal- BournemouthKwa nini umejisiriba miwani myeusi kama Lemutuz? Tunacheza lini? Tunacheza na nani?
Nipo mkuu Jana nilikuwa busy sana hila Leo kwa sana nipo nagonga likes
HahahahaWatu wengine ni wa kuacha tu walivyo. Wana hasira 24/7. Jamaa ana matusi balaa. Mpuuzeni tu.
HahahahaLeo si ndiyo siku mliyopanga akuletee mapera na biskuti kwa ajili ya Viv. Mi sihusiki na mipango yenu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa Bournemouth hawa sijawahi kuwasikia hawa. Lazima watakuwa vibonde probably. Au nao watatupiga?09.09. 17:00 Arsenal- Bournemouth
Ztawageukia SASAUnatengeneza silaha halafu watu wanatumia kukuua nayo
life is not fair ma..............z.....................a...................f..............a............n..............t..................a
Brandon lee
Likes kwa likesNipo mkuu Jana nilikuwa busy sana hila Leo kwa sana nipo nagonga likes
watu humu balaa sanaAna jiinterview. Mwenyewe hiyo kali
Looks like Godess ISIS to me....
Hi nawapa likes page nyingi sana lakini nitamaliza napenda kusoma post za nyuma nakulikeHey babes
Hiyo si timu ya kitoto nayoHawa Bournemouth hawa sijawahi kuwasikia hawa. Lazima watakuwa vibonde probably. Au nao watatupiga?
Na kweli nimeenda. Nimecheka sana dah. Watu bwana....Exclusivee... naji Interview mwenyewe
[emoji115][emoji115]nenden mkacheke kidogo huko mana nmenuna sana humu
Du hii Kali2.Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.
3.Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung-.Baba wa taifa lao Kim II-Sung alizaliwa 15.04.1912 siku ilipozama meli ya Titanic. (Rais wa Maisha wa Korea Kaskazini ni Kim Il Sung. Mtoto wake na mjukuu wake wamekuja kuwa viongozi tu, lakini yeye mwenyewe babu yao ndiye rais mpaka leo, hata kama amefariki Eternal President of the Republic-Hayo ndiyo mambo ya North Korea.)