mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua dar maana kuna kashfa kubwa sana kuhusu wanaume wa darNipo polini huku unajifanya umepasahau si kule wanapo share vipodoz na dada zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bob asisahaulike plz, nae anakuja kwa kasi kwenye hayo mamboNimeshawatia kwenye notibuku yangu. Mzee wa Tukuyu nitampa uenyekiti kwa sababu inaonekana kabobea sana. Mimi acha nichukue ukatibu unanitosha. Akiritaya naubeba uenyekiti bila kusita !!!
Kwema jirani yangu, mambo vipi, shemeji yangu nsamaka mwambie namtafutaMoudgulf Mtemeke mwenzangu,kwema?
HahahaWatu wanaikulia mlonge, nakwambia si mchezo! [emoji3][emoji3]
Hv leo ulikesha eeeh?Tupo pamoja[emoji120]
Lazima umefurahia sana hiyo nafasi, uzuri wangu mie umeniweka ndani. We hangaika tu hiyo misambanda yakoMwenyekiti mkoro...
Vivian anaendelea vizuri kabisaMungu anasaidia kwa kweli.Hope baby wetu anaendelea vizuri, siyo?
TupoHumu ndani nawasalimia[emoji136]
Mimi nataka kuona nyumba aliyozaliwa bishop tuMjage na Koromije kutalii jamani. Utalii wa ndani muhimu
Asumani mawenge akiwa Brazil 2014
Utawajua tu wadauHahaa, Bongo tambararez! [emoji3][emoji3]
Hahahahaha(2) Nyumba alimoishi Mzee wa kuliamsha dude
Yaan vya mchangani,matopeni,majini kwake yy fresh tu hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe we mzoefu wa viwanja vyote eeh
Vipi simu ilijaa vizuri???[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:Bob12
SYB njoeni mumuone huyu asumani mawenge huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bob hujaelewa nn? Kwani ww hujawahi kuchunguliwa? HahahahFafanua hapo kwenye kuchungulia[emoji16] [emoji16]
Utani tu
Kwema?
Kesi yake niliifuatilia sana Lakers ni my favor team in NBANi hatari sana shemeji. Yaani mtu inabidi uulize mara mbili mbili. Kesho yake akikugeuka umekwisha. Hata hawa wanamichezo (Kobe etc) ndicho kinachowatokea. Binti anakubali halafu kesho anadai alikuwa kalewa na hakumbuki kama alitoa consent. Basi hapo hakuna ujanja isipokuwa kumalizana nje ya mahakama. Kobe wanasema alipigwa $ milioni sita !!!
Tatizo lako unapenda sana misambwanda kiasi hata ukitembea na mkeo shingo yako haitulizani!!Mkuu kwema? Adui yangu namba moja ni moudgulf.Ahsante kwa ushauri mkuu
Kabisa mkuuFamous people na wenye vihela hela inabidi wawe makini sana. Kibaya hata baadaye ikija kubainika kuwa binti alikuwa anadanganya basi wewe maisha yako yameshakuwa ruined na rekodi tayari unayo. Hakuna university au employer atakayekugusa tena...