Hahahaahhhahaahahahahahaha
kumbe nafasi ya umama viv alikua anaitaka
duh
Maandalizi ya mitihani yanaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha wa yuuuHaaaaaaaa nimekuja sasa nimeambiwa unatusema
Hahahaha sina shida nayo ila ikitokea nikaachwa basi ujue itabidi unichukue kwa lazima.hahahahaha
kumbe nafasi ya umama viv alikua anaitaka
duh
Yule hana mpya [emoji23][emoji23]Carba ndio maana Nsamaka anakutafuta kila kona
HahahahahaKimbembe cha kumsaka Mama Viv kiliishia wapi jamani? Shemeji ulikuwa ukitajwa kuwa eti ndo umeshinda intavyuu. Ni kweli?
Ananitafuta kweliBob?me na Bob wapi na wapi?
We mwanamke mbona wanitafuta lakini??
Ndio nasikia sasa. Wewe umepigwa chini. Nilisha kuonya huko nyuma. Nikakuambia Carba asiwe anakuja kwako kukusuka hukusikiaEeeh ulikuwa hujui?
[emoji5] [emoji5] [emoji120] my favekumbe na wewe unawasikiliza
wonderful
Hahahahaha ila ww akili zako sio za nchi hiiNa kesho anafanya mitihani ole wake afeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atarudisha hela za mzee yule
hahahahahaHahahaha sina shida nayo ila ikitokea nikaachwa basi ujue itabidi unichukue kwa lazima.
Ya graduu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia wakaribia ku graduateNini Tena keki ya nini
Heeeee[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]Tena ishia hapo hapo usitake ni fungue mdomo wakati unavunja nyumba ya Cole na Bamia zako