Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani wewe subiri nikalale nikiamka utanitambua,maana si kwa kuniharibia siivii mimi leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanya hadi uaminifu wangu kwa shemeji umevunjika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hufai kabisa wewe

Tena ukuje ile mida ya wanga! Tutakuwa wenyewe tu humu leo. Wanga wengine hawako zamu leo. Wengine wameisha yafakamia ma bapa, ni kukoroma kwa kwenda mbele! Patakuwa patamu humu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…