Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu niajeYu mini zati, kuhangaika na mipweza, limlonge, mikaranga mibichi, liugali la dona na maharage chukuchuku(msosi wa akina uniq shuleni),mihogo mibichi ni kujitesa tu?
Hebu rudia na ujasiri wa kula "konokono" mama, nataka nianzie huko nimchambueeee.... "konokono" hadi kinyaa kiseme basi nataka tena, then.....
Mzima baba nsamaka!?
Fika salama mkuuMungu ni mwema.
Safari imebaki kidogo
HahahaUzi huu wallah in ISIS voice
Makinikiakilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili..
hakuna anaepigia debe kilimo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiswahili ni kiarabu koko
Jamani Baby. Eti zigo....Si kwa zigo hili[emoji134]
Asante mwana Mbeya
Nitake radhi DogoMwanafunzi usipende kutembelea majukwaa haya nyakati za usiku. Hapa hapakufai
Kwa kila kituMungu ni mwema [emoji120] [emoji120]
Mlokole my foot. Unafikiri ulokole (wa kweli kweli) mchezo?Yegomasika, karibu mlokole wetu
Du HahahahahaBulicheka hakuwa mgagagigikoko
Kwani selekishoni tayari?Mwanafunzi usipende kutembelea majukwaa haya nyakati za usiku. Hapa hapakufai