carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aaaah!wapi tukiondoka sirudi tena hadi kesho ukirudi[emoji6]Halafu urudi mida ya wanga kwa mwamvuli wa Kichwa kichafu
Unamikwara khaa!Dogo naona anatafuta kuishia alipoishia Ho Chi Minh
Hahaah. Nadhani ingekuwa busara angemuita Mchina aongee nae amueleze yalio mkutaYeye anapeleka mahubiri yake feki everewhea siyo kwa Bebi S pekee. Mabinti wote humu keshamaliza. Naona amerithi mikoba ya KK yule wa mwanzo siyo huyu wa sasa ambaye angalau kidogo kabadilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23]hata mimi naona
Nipo mkuu mambo yakoje huko duniani hapa ni songombino tuPowa kabisa. Sema wewe!!!
Hata uchawi na majini vina ukomo na mipaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bob kuja huku uone
Hivi Baba V hajamboIla huyu ni mzuri kuliko v
Fake whaaat[emoji23][emoji23][emoji23]Fake pastor wa kikerewe[emoji23]
Na akipotezwa na student mwenzie ndio salama yako[emoji23][emoji23]Ila unapoenda kugusa utapotezwa veri suuni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahhahaI used to like my neighbours, until they put a password on their Wi-Fi[emoji17][emoji17][emoji17]
Naelewa Yegoo.... mafundisho ya dini yenyewe ulikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
Mzee wa gospoKuoa siyo lelemama. Muulize singo faza atakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]