Numbi...-unamkuta Mke Wako Yuko Na Mshikaji, Wako Ziro Distance Unamuuliza Mke Wangu Unanisaliti, Anakujibu 'hapana Nimekuja Kudai Madeni
I hope yupo anaendelea kufanikiwa huko alipoISIS....
Namtakia heriI hope yupo anaendelea kufanikiwa huko alipo
Mrembo NumbisaAnakula bokoboko
Cha KingstonUsintanie hebu angalia notificatio zako
Tuambie tunajusikiliza temojed de modekeze amunya api de musyokaze. Tupo tayari uzuri ulioje huuWakuu wakuu
AMUN RA21:20
No more EPL for meEPL inaendelea
Charles Darwin huyu ndio jamaa wa evulutionMaisha ni mazuri. Kifo ni Amani. Kinachosumbua ni mpito. Isaac Asimov
Mtu anayethubutu kupoteza lisaa limoja hajatambua thamani ya maisha- Charles Darwin
Kwa kila postLikes kwa likes
AMUN RAWapendwa mkawe na usiku wenye baraka,Mungu apate kuwalinda.
Mkumbuke tu;haijalishi ni wakati gani mgumu wapitia au matatizo gani yamekuandama,siku zote usiache kumtumainia Mungu maana kila mitihani unayopitia yeye anaufumbuzi nayo ni kiasi cha kumuamini na kumuache akutendee kwa wakati.
Usimuache Mungu katika kila hatua ya maisha yako,mshukuru kwa kila kidogo alichokupa na kila jambo katika maisha yako.
Mungu awabariki nyote.
[emoji120][emoji120]
Ulikuwa ujui heeeJamani Patamu Humu nakwambiaaa, Raha ilioje
Kama wanaambizana vileHii watu wanaipenda ,[emoji3][emoji3]
Sijawahi kwa kweliUlishawahi kujiuliza. Ni kwa nini muda huenda mbele daima? Kwa nini haurudi nyuma?