Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh!

Nimechokoza mhadhara naona. Nilitaka tu tafsiri sisisi ya maneno hayo na siyo mhadhara mzima. Anyway ASANTE!!!
 
Halitaenda, maana hakuna zawadi ya kuku from town to village. [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukipeleka kuku kijijini utaonekana hamnazo
Unawaambia ni libroila tono tono la kutoka mjini. Watalikubali tu na kuanza kulishangaa jinsi lilivyo lege lege hata katika mambo ya msingi kama kuchakura chakula na kukwepa hatari za kutafunwa na mapakashume na masaibu mengine ya kijijini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…