Kwani uongo mama??[emoji4][emoji3][emoji2]
Love love love love loooooovvvvveeeeeMy heart will go on...
Hahaha! Atakua amekusikia..Muambie aache ubahau
Ni kweli kabisa[emoji8]Kwani uongo mama??
Yessss.....Love love love love loooooovvvvveeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ukisikia notfication ujue mume wa Babe S yupo kazini
Pindua sms upate bundle ugonge likes, ili ujenge heshima mjiniPindua pindua
Hahahahahh jokesLete mrejesho. Uliona nini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uko sawa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariKuna jamaa yuko humu aligundua id ya bosi wake mkono sana kazini basi kila siku akawa anamtandika povu la kufa mtu. Ikafika mahali bosi analog in JF jamaa naye analog in na kuanza kumpa makavu. Bosi naye (mtu mzima kabisa 65+) akawa anajibu mapovu kwa mapovu mpaka wote wakalimwa ban...Hiyo ndiyo JF yenye watu wa haiba mbalimbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana namna, ikibidi waje hapa tukimbize uzi huu hapa wa kichakaram,Makapuku hoi
Hahahahha kasheshe kweliKulikuwa na kesi hapa jamaa eti linashitaki lilibakwa na girlfriend wake. Girlfriend mwenyewe mkali balaa. Basi limepata vitisho vya kila aina wengine mpaka wameliita "an embarrassment to all men dead or alive!".
Tafadhali sana, nipo umbali wa kmt 8 toka kilipo lakini wala sijui kinachoendeleaKiwanda cha superdoll kinaungua moto saiv
Babe SWali samaki....
moudgulfBabe S
Kila kitu ni majaribio kiongozi, yakupasa ujaribu ili hata siku ukiulizwa ladha yake uwe na majibu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijawahi kuvuta sigara kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]