mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahaWee nani wa kupewa rose ya nyuki,kitu belaire bana(hata sijawahi onja hahaha) mwaloni wazima full kipupwe na harufu ya dagaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ndo babe S eeh??kumbe ni msupuuu hivi?
Carba nakusalimia tu kwambali.
Kitu murua kabisaHahaa... Jamani wewe hupendi rose? Unapenda zaidi hii.
View attachment 602870
[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Kuna yale makaburi yale naomba asijeyafikia maana hali itakuwa mbaya humu[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona anapiga post zote hii hatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo nenoRose kwa watoto wa primary ujue,sasa wewe zilipendwa utatoaje zawad kwa zilipendwa kitu cha rose. Ndo maana unaitea andaeitini hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nivae jezi ya man u hiyo haitatokeaHahaaa hao wabibi wanakosa uhondo
Safi kabisa uza hao dagaa fasta nakusubiria ila shart ununue na jezi ya man u valisha mzee wa liver uje nae,aje anaimba glory glory Manchester united hewalaa belaire itakubalika
Hivi selection za shule bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hata mi nimezisikia....nilikua natoka hadi nikaamua kubaki
Ukisikia notfication ujue mume wa Babe S yupo kazini
Broken plus