Mie najitahidi kula ninenepe ipo siku tu ntajitoa chama la vimbaumbauIna maana mabinti wote wa uzi huu ni vimbaumbau? Hakuna kibonge hata mmoja jamani? Tunajua ukimbaumbau ndo urembo na pengine afya nzuri lakini doh! Carba, Numbisa, Nsamaka, Jakitoo...wote vimbaumbau. Beef na Consuela hali ikoje?
Kwani ulaya uchawi haupo mkuuHii familia ya akina Kennedy hii yaani. Ni vifo mfululizo. Ingekuwa huku kwetu tungesema wamerogwa au wana laana.
Aisee kipaji ni kipaji tuView attachment 618498
Binti anachora kwa kutumia miguu
AlwaysView attachment 618501
God is Good
So sad kwa familia hiiBobby naye baadaye akala risasi kama kakake. Huzuni juu ya huzuni !!!
Mkuu good morningNjema kiongozi
Baba ya muziki hapa walitoa neno haswaNdoa ndoano, SAUTI YA MSONDO
Asbh hiyojioni hiyoo
Asbh hiyoojioni hiyoo
Tupo ndani ya weekend na Leo Mtoto atumwi dukaniweekend inanukia
AMUN RAtumshukuru Mungu kwa kuikaribia wikiendi ingine
Udumu daimaamani na upendo
Wetuumoja wetu na uzalendo