Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha hapo ndipo pabaya
 
Hapo wengi wetu tumekuwa na mitazamo kwamba, visigino kupasuka ni ishara ya mtu kutojali usafi wa miguu yake, ila mpenzi msomaji leo napenda kukushirikisha mambo kadhaa kuhusu mtu kupasuka visigino.
 
Kwa kawaida, ngozi zetu huwa zina unyevunyevu ambao huiwezesha ngozi ivutike au kutanuka pamoja na kusinyaa bila ya kutokea madhara yoyote kama vile kuchanika. Pamoja na ngozi kugawanyika katika sehemu tatu ( sehemu ya nje – Epidermis, sehemu ya kati – Dermis na sehemu ya ndani – Endodermis), ni sehemu ya nje, epidermis, ambayo ipo karibu na unaweza kuigusa au inaweza kuathirika na ukaiona kirahisi, na hii ni kwa sababu inagusana moja kwa moja na mazingira yetu. Gaga huanza hutokea katika sehemu hii ya ngozi, Epidermis.
 
Cabra hataweza hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngozi kuwa kavu sana, hii ni sehemu ya nje ya ngozi ambayo inawezekana mtu kwa asili yake akawa na ngozi kavu na hivyo kuifanya ishindwe kustahimili kutanuka au kusinyaa na hivyo kupelekea ipasuke.
 
Kuiweka miguu katika maji kwa muda mrefu na baadae kutoipaka mafuta ya kulainisha ngozi, hii husababisha ile asili ya ngozi pamoja na mafuta katika ngozi yapotee na kuiacha ngozi ikiwa kavu sana.
 
Moja ya madhara yanayoweza kutokea kwa mtu kupasuka visigino ni kupata maambukizi ya magonjwa, infection. Hii ni endapo miguu itachanika kiwango cha kufikia ngazi ya kati ya ngozi, dermis, kiasi cha kupelekea damu zianze kutoka sambamba na maumivu makali. Kupitia hiyo mipasuko mtu anaweza kupata maambukizi ya magonjwa.
 
Kwa miguu iliyopasuka tayari, ifanyie usafi miguu yako na kisha tumia mafuta ya mzaituni kupakaa mipasuko, vaa soksi na viatu vya kufunika ili miguu iendelee kuwa na unyevu, wakati wa usiku pia fanya hivyo huku ukilala miguu imevalishwa soksi baada ya kuipakaa mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…